Inaogopesha sana! Limekuwa ni jambo la kawaida. Apumzike kwa Amani!Ila ndugu zangu vijana wanaharibika kwa kasi sana tuwe makini na watoto wetu hasa wa kiume jana na mimi nilipata kudukua dukua huko Instergram Nilichokiona ni siri yangu.
Ni kweli..lakini mashoga hayana Inna Lillahi...na ndo mana yaliangamizwa enzi za Nabii Lut.Kila kifo ni mawaidha.
Alikuwepo duniani na sisi na leo hii ghafla bin vuu hayupo. Amali na matendo yake ndiyo yatakuwa na uzito leo hii. Jee, wewe uliyekuwa hai unafanya nini?
Inna li Llahi wa Inna Ilayhi Rajiun.
hahahaNi mwanamke?
Ni mtu mmoja, kwa wanaomjua wanasema hii miezi ya mwisho ndio alipungua sanaKuna picha ni bonge na hizi kapungua, je ni mtu mmoja? Nimeshindwa kufananisha.
😱Kwa picha hizo sina swali, maana nikiuliza ntaleta ugomvi na wenye fani zao. Na wala sina jibu maana ntakuwa namuhukumu.
Mungu amuweke panapostahili.
Kwa hiyo kaka na wewe uli mfollow Inster?Huyo kijana alikuwa CCM pure mpaka kampeni alifanya... Nenda kwa page yake hiyo uone
Bado una huo upuuzi kwenye akili yako....usemi ushabadilika huo siku hizi unasomeka NDO ZETU HHIZO!!!!Haroub, hao ndio zao
iNi yule Kheri Nasser?
alizaliwa kiumeni sema labda huku mbeleni aliamua kujifanya ke by the way muonekano wake ndo unasema hivyoNi mwanamke?
nn sasa unashangaa ndugu....duhhhh mpungaaa????????????
OMG mbona kijana kalegea hivyo duh wazungu wametuharibia vijana wetu.
huku kwetu jina lako mpunga utata mtupu ukiitwa ilo jina lazima watu wakushangaenn sasa unashangaa ndugu....
sasa si kwenu asee mbona unataka kuntukania babangu mapema hii? na asubuhi usiniharibiehuku kwetu jina lako mpunga utata mtupu ukiitwa ilo jina lazima watu wakushangae
niwie radhi mkuusasa si kwenu asee mbona unataka kuntukania babangu mapema hii? na asubuhi usiniharibie
hahahaha sisi wamakonde hilo ni jina la kawaida mkuu usikonde nakutania tuuu sina nenoniwie radhi mkuu