Paco Decor amefariki

Paco Decor amefariki

Status
Not open for further replies.
uchunge mdomo Wako huko lasivyo utarudishwa kabla ya siku ulizopanga kukaa ohooooooo,
Toka nije huku binamu speed ya umbea imepungua, yani huku kazi tu mpaka nimepamis kwa maguful, full umbea masaa 24
 
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo

bora angefanya mazoezi Tu na kupunguza Kula,hayo masharti inaonesha ni magumu eee
 
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
Abeeeeeee! ? Hebu elezea vizuri kidogo jamani! [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
 
maisha ya huku siyawezi, narudi kwetu mwenzangu, mimi na uzungu wapi na wapi

weeee nawee kaa huko utakate uwe kama Ray huku vumbi balaas,umbea si instagram IPO na jf IPO ukiwachonganisha watu huko utapigwa bastola
 
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
Kupunguza utumbo au tumbo? Kama utumbo it sounds so dangerous to me.
 
Duuh si mchezo. Haya mambo uzungu uliopitiliza yana shida sana
 
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo

Duh tupunguze uthungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom