warumi
R I P
- May 6, 2013
- 16,218
- 18,440
Toka nije huku binamu speed ya umbea imepungua, yani huku kazi tu mpaka nimepamis kwa maguful, full umbea masaa 24uchunge mdomo Wako huko lasivyo utarudishwa kabla ya siku ulizopanga kukaa ohooooooo,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Toka nije huku binamu speed ya umbea imepungua, yani huku kazi tu mpaka nimepamis kwa maguful, full umbea masaa 24uchunge mdomo Wako huko lasivyo utarudishwa kabla ya siku ulizopanga kukaa ohooooooo,
Toka nije huku binamu speed ya umbea imepungua, yani huku kazi tu mpaka nimepamis kwa maguful, full umbea masaa 24
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leokwenye wall yake ya fb inaonyesha 8 hours ago alikua thailand, mmh labda kuna kitu nyuma ya pazia, tutasikia mengi tu binamu
si nasikia alifanya oparesheni ya kubana tumbo watu wanajua kumchokoza mungu sana
mi naenda kulala huko huko,mpaka msiba utakapoisha ndio ntarudi kukaanga samaki utoe Tu order
insta hehehehe wamemtukana bila kujali kama ni marehemu ama niniduh ..................
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
maisha ya huku siyawezi, narudi kwetu mwenzangu, mimi na uzungu wapi na wapikwa hiyo hurudi au ndio tusemejee
ahahahaha si alienda kutuwakilisha watanzania binamu??
mazishi yatakuwa kinondoni kwa bibi yakeHuyo shoga ni kabila gani? Mbona kama ni shombe shombe hivi, halafu sijui ni muumini wa dini gani.
haaaaaa na nina ham na samaki balaa...... nifungie wa kutosha
Abeeeeeee! ? Hebu elezea vizuri kidogo jamani! [emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
maisha ya huku siyawezi, narudi kwetu mwenzangu, mimi na uzungu wapi na wapi
Anaetetea mabwabwa nae ni bwabwa.Chuki ya nini amepunguza lipi kwenye maisha yako? Ningekuelewa chuki kuelekeza kwa mafisadi wanaotafuna nchi. Let the man rest in peace.
Kupunguza utumbo au tumbo? Kama utumbo it sounds so dangerous to me.Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo
Umachingani kama kawamambo poa......leo hauko umachingani
Amefia agakhan alilazwa toka ijumaa...sbb ya kifo chake complication za surgery aloifanya US ya kupunguza utumbo ili akondo...inavyoelekea hakufata masharti vizuri...ni hayo tu kwa leo