mbenge
JF-Expert Member
- May 15, 2019
- 4,864
- 10,483
Wanakwenda Ihefu bhanaMimi sio mtume, nabii wala mtabiri,
Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.
Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.
Tuendelee kufatilia.