Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

Tetesi: Pacome Zouzou ni mnyama

Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,

Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.

Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.

Tuendelee kufatilia.
Wanakwenda Ihefu bhana
 
Tukubali tu ukweli! Rage aliwaza mbali sana pale alipowaita mbumbumbu.
 
Hapo sawa.
Mangungu na Try Again mitano tena.
 
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,

Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.

Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.

Tuendelee kufatilia.
nyinyi makolo hata mumnunue vini na jude bado chini ya jaribu tena na mangungu hamtatoboa mbele ya injinia na arafat
 
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,

Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.

Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.

Tuendelee kufatilia.
Muibeni tena kama mlivyofanya kwa Ngoma. Mnasikitisha na hamjifunzi. Ila sina wasiwasi na Uongozi wa Yanga. Wale Wakongo Juma Shaban na Bangala na Ugari Sukari wana habari, na ndiyo timu inaimarika. Nyie Chukueni tu mlivyombumbumbu.
 
Hizi ndio mambo sisi tunataka kusikia. Heko viongozi wetu na mbaki madarakani forevaaaa. Sasa hivi zimefika kauli 6 hureeeeee

1. Goli la azizi halikuwa halali dhidi ya mamelodi

2. Refa wa mamelodi kapangiwa kuchezesha olimpiki

3. Pakome mnyama next season

4. Simba ni ya 4 Afrika na hata ligi ya Tanzania tukiwa wa tisa sisi ndio tutashiriki AFL

5. Simba ndio timu tajiri Afrika mashariki

6. Simba ndio ya kwanza kuanzisha chanel ya whatsapp

Sasa hivi viongozi wame advance hakuna tena kauli kama Yanga inatumia bahasha au Yanga inabebwa
Timu ya kwanza kwenda na kibegi Mlima Kilimanjaro.....
 
Mimi sio mtume, nabii wala mtabiri,

Ila Uwezekano wa niliemtaja kuingia kwenye kundi la kina Benard Morrison, Emmanuel Okwi, Beno Kakolanya, Juma Kaseja, Mrisho Ngassa, Amri Kiemba, Athuman Idd Chuji n.k ni mkubwa.

Tufahamu kuwa mikataba huvunjwa na kuna gharama hulipwa kama faini ya kukiuka mkataba.

Tuendelee kufatilia.
ili kupata kichekesho hichi nibonyeze ngapi?
 
Back
Top Bottom