Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

Kala kitu kizito cha kichwa. Kudadadeki.
Huo msalaba umewekwa kimkakati na inaonekana kuna muhuni kausukuma kule juu ukiangalia utaona kuna matobo matatu ndipo ulipoachia inamaana kuna mtu kule juu upande wa msalaba alikua anamlia timing halafu kunaa mtu huku mbele anatoa info kwa yule mtu kua sasa amekaa kwenye ule usawa ambao ukiachia tu kinamkuta cha kichwa liachie jamaa akaliachia likatua kwenye kichwa
 
Umelaanika ww! Mwenzio kafa unajua🫢 Afu kama kweli ni kisasi huyo muuaji alilenga kabisa akijua lazima huyu padri atasimama angle hii🙁
Duh mbona ni kifo cha kikatili sasa..
 
Is it not AI?
 
Back
Top Bottom