Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

Wananchi wa huko wanasema aliiba $2m za sadaka na ana magari ya kifahari na mjengo wa uhakika
 
Wananchi wa huko wanasema aliiba $2m za sadaka na ana magari ya kifahari na mjengo wa uhakika

Kwahiyo ndio YESU kachukua Sheria mkononi !!!

Father ni mwenye kipara kikubwa kapigwa kwa shabaha kali kama ya Iranian ¿¿¿

Hatari wakutuombea tusipatwe na Majanga yeye ndio kapatwa na Janga ni hatari ¿¿¿¿¿
 
Kwahiyo ndio YESU kachukua Sheria mkononi !!!

Father ni mwenye kipara kikubwa kapigwa kwa shabaha kali kama ya Iranian ¿¿¿

Hatari wakutuombea tusipatwe na Majanga yeye ndio kapatwa na Janga na hatari ¿¿¿¿¿
Utashambuliwa sasa hivi na hakuna wa kukutetea
Unaona kabisa kuna watu wawili hapo
 
Maudhui ya kuogofya! Padri Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja (livestream).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki, Padre Patricio alikuwa akihudumu kama paroko wa Kanisa la Perpetuo Socorro, katika eneo la Vicaría Centro, jijini Guayaquil.

Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Guayaquil limetoa salamu za pole kwa familia yake, ndugu wa shirika la Redemptorist, pamoja na marafiki zake, huku likiwaalika waumini kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya roho yake.

Taarifa hiyo ya rambirambi ilitolewa Oktoba 17, 2026, na Kardinali Luis Cabrera Herrera, Askofu Mkuu wa Guayaquil.


Mshangao wanalia zaidi Wakike yumkin kukawa na yumkin 🤠
 
Back
Top Bottom