Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Tittle imesemaSijui kama alipona
Tittle imesemaSijui kama alipona
Yesu kaua😅Maudhui ya kuogofya! Padri Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja (livestream).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki, Padre Patricio alikuwa akihudumu kama paroko wa Kanisa la Perpetuo Socorro, katika eneo la Vicaría Centro, jijini Guayaquil.
Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Guayaquil limetoa salamu za pole kwa familia yake, ndugu wa shirika la Redemptorist, pamoja na marafiki zake, huku likiwaalika waumini kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya roho yake.
Taarifa hiyo ya rambirambi ilitolewa Oktoba 17, 2026, na Kardinali Luis Cabrera Herrera, Askofu Mkuu wa Guayaquil.
Kitu kimepiga utosiDah kati kati, wajuzi wa mambibwatatuambia mengi sna hapa
Hatari Sana, ngoja tusubirie taarifa fupi, huenda watasema ana madhambi ndio maana amegongwaKitu kimepiga utosi
Ubao utakua ulioza huu sio bureKitu kimepiga utosi
WeeShetani kausukuma msalaba🙆🏽♀️
Ni huzuni kwakweli..
Hii inafikirisha sana.Tukio la kusikitisha na kushangaza limeripotiwa nchini Ecuador, ambapo Padre Patricio Sánchez anadaiwa kufariki dunia baada ya kuangukiwa na msalaba mkubwa wa mbao uliokuwa nyuma yake wakati akiendelea kuongoza misa katika kanisa moja jijini Guayaquil.
Kwa mujibu wa taarifa zilizosambaa, tukio hilo lilitokea wakati ibada ikiendelea, huku waumini wakiwa ndani ya kanisa. Msalaba huo ulidaiwa kuanguka ghafla na kumwangukia padre, na kusababisha taharuki
===
Padri Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja (livestream).
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki, Padre Patricio alikuwa akihudumu kama paroko wa Kanisa la Perpetuo Socorro, katika eneo la Vicaría Centro, jijini Guayaquil.
Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Guayaquil limetoa salamu za pole kwa familia yake, ndugu wa shirika la Redemptorist, pamoja na marafiki zake, huku likiwaalika waumini kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya roho yake.
Taarifa hiyo ya rambirambi ilitolewa Oktoba 17, 2026, na Kardinali Luis Cabrera Herrera, Askofu Mkuu wa Guayaquil.
Hapana kaua mchungaji wake.Daaaaaah hatimae Yesu kaua kondoo wakee