Padre afariki baada ya kuangukiwa na msalaba akiwa anaongoza misa kanisani Ecuador

Yesu kaua😅
 
Kwanza nyinyi wakatoliki kwanini hamtengenezi misalaba ya plastiki? Ungekuwa wa plastiki angepona huyo msalaba ni kama nembo sio lazima uwe wa chuma au mbao kuna dharura jamn
 
Padre Patricio Alfredo Sánchez Molinari amefariki dunia nchini Ecuador baada ya msalaba mkubwa kuanguka na kumwangukia akiwa katikati ya ibada kanisani. Tukio hilo lilinaswa kupitia matangazo ya moja kwa moja (livestream).

Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kanisa Katoliki, Padre Patricio alikuwa akihudumu kama Paroko wa Kanisa la Perpetuo Socorro, katika eneo la Vicaría Centro, jijini Guayaquil.

Jimbo Kuu la Kanisa Katoliki la Guayaquil limetoa salamu za pole kwa familia yake, ndugu wa shirika la Redemptorist, pamoja na marafiki zake, huku likiwaalika waumini kuungana katika sala kwa ajili ya mapumziko ya milele ya roho yake.
Taarifa hiyo ya rambirambi ilitolewa Oktoba 17, 2026, na Kardinali Luis Cabrera Herrera, Askofu Mkuu wa Guayaquil.



Your browser is not able to display this video.

Nani Aliye uwa hapo?
 
Bahati mbaya kwa mwenye akili yoyote !!!
 

Attachments

  • 1792437105567.jpg
    93.4 KB · Views: 7
  • 1792437070039.jpg
    114.3 KB · Views: 7
  • 1792436922122.jpg
    441.6 KB · Views: 6
Hii inafikirisha sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…