- Thread starter
- #21
Wanakemea maovu kwenye jamii, kama vipi nenda kwa Mwamposa kanunue mchanga auombee ujenge gorofa.wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanakemea maovu kwenye jamii, kama vipi nenda kwa Mwamposa kanunue mchanga auombee ujenge gorofa.wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Ccm wajimwabafy na kujinasibisha kwa uovuNi aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika. Miongoni mwa waliowahi kuishi Tanzania ni Nelson Mandela na Samora Machel.
“Nchi ambayo ilikuwa inakimbiliwa na kila mtu kuja kujifunza siasa safi, sasa hivi zipo nchi zinakuja kujifunza siasa chafu. Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja. Tuliwafundisha siasa safi wakawa wana uvumilivu lakini juzi tukawafundisha siasa chafu; namna ya kuwashughulikia wapinzani, wamewashughilikia wapinzani na hali ni mbaya kule”- Padre Dkt. Charles Kitima.
Leo ni tofauti wahuni wanaotaka kuharibu demokrasia za nchi zao, kujifunza kuiba kura na kupindua matokeo ya uchaguzi na kuweka vibaraka wao ndio tunaowakaribisha kuja kujifunza siasa chafu kutoka kwetu. Aibu.
Msumbiji hao,Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja.
Padre Kitima huwa anachemka katika maoni yake mara nyingi tu.Ni aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika. Miongoni mwa waliowahi kuishi Tanzania ni Nelson Mandela na Samora Machel.
“Nchi ambayo ilikuwa inakimbiliwa na kila mtu kuja kujifunza siasa safi, sasa hivi zipo nchi zinakuja kujifunza siasa chafu. Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja. Tuliwafundisha siasa safi wakawa wana uvumilivu lakini juzi tukawafundisha siasa chafu; namna ya kuwashughulikia wapinzani, wamewashughilikia wapinzani na hali ni mbaya kule”- Padre Dkt. Charles Kitima.
Leo ni tofauti wahuni wanaotaka kuharibu demokrasia za nchi zao, kujifunza kuiba kura na kupindua matokeo ya uchaguzi na kuweka vibaraka wao ndio tunaowakaribisha kuja kujifunza siasa chafu kutoka kwetu. Aibu.
Ila mashehe wakiongea freshwanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Aliupinga uwekezaji wa DPW na sasa wamo bandarini na ndio bandari inayofanya vizuri zaidi afrika mashariki na kati katika muda huu.Hapo anakemea maovu yanayotokea kwenye jamii .
Kuhubiri dini ni pamoja na kukemea maovu yanayofanywa hata na wanasiasa.
Kwa hiyo wanasiasa wakifanya maovu viongozi wa dini wakae kimya wasikemee kwamba wataonekana wanafanya siasa?
Hiyo nchi anayoiongelea Mh Padri ni Msumbiji kupitia FrelimoNi aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika. Miongoni mwa waliowahi kuishi Tanzania ni Nelson Mandela na Samora Machel.
“Nchi ambayo ilikuwa inakimbiliwa na kila mtu kuja kujifunza siasa safi, sasa hivi zipo nchi zinakuja kujifunza siasa chafu. Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja. Tuliwafundisha siasa safi wakawa wana uvumilivu lakini juzi tukawafundisha siasa chafu; namna ya kuwashughulikia wapinzani, wamewashughilikia wapinzani na hali ni mbaya kule”- Padre Dkt. Charles Kitima.
Leo ni tofauti wahuni wanaotaka kuharibu demokrasia za nchi zao, kujifunza kuiba kura na kupindua matokeo ya uchaguzi na kuweka vibaraka wao ndio tunaowakaribisha kuja kujifunza siasa chafu kutoka kwetu. Aibu.
Ulitaka wasikemee uovu? Hilo analofanya kitima ndio moral authority sasa kinyume na wakaao kimya.wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Padre kapiga siasa za kipinzani hana hoja ya maana. Afrika ina vita za wenyewe kwa wenyewe tangu miaka ya Nyerere akiwa Rais wakati huo yeye akiwa mwanafunzi bado.Jichunguze wewe kwanza je ni mjinga? Kama siyo njoo na hoja za kupinga maneno ya Father Kitima siyo kuja na vitisho.
Kwamba akili yako imeshindwa kutambua yakitokea machafuko hata Misikiti na Makanisa itaathirika?wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Siasa ni nini?wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
Tunakoelekea ndiko huko kwa Somalia.Padre Kitima huwa anachemka katika maoni yake mara nyingi tu.
Liberia walichinjana miaka ya nyuma na kwa sasa ni nchi imejaa vilema wanaotembea na magongo, na wao walikuja nchini kwetu kujifunza siasa za uhasama?.
Sudan na Somalia wanapigana kabla hata yeye hajajiunga seminary kusomea upadre, na wao wamejifunzia hapa Tanzania hizo siasa za chuki?.
Huyu ni meneja wa kampeni wa CHADEMA wa mwaka 2020, anajisahau na kuliingiza kanisa zima kwenye siasa za vyama vingi, halitendei haki kanisa na sisi waumini.
Na watashindwa kuuzima, (fire works) swali fikirishi je jamii itaendelea kunyamaza ama kunyamazishwa hadi lini?CCM sasa hivi wamefikia kiwango cha juu kabisa cha dhuluma wanazozifanya dhidi ya wananchi,kinachofanya nchi iendelee kuwa na utulivu ni uoga wa wananchi lakini siku ikitokea watu wakasema sasa basi liwalo na liwe moto utawaka.
Maana sasa hivi ccm wamewadharau wananchi na kuona hawana ubavu wa kufanya chochote na wananchi wenyewe wanajua kama wanadharauliwa.
Siasa za kipinzani ni zipi na zisizo za kipinzani ni zipi.Padre kapiga siasa za kipinzani hana hoja ya maana. Afrika ina vita za wenyewe kwa wenyewe tangu miaka ya Nyerere akiwa Rais wakati huo yeye akiwa mwanafunzi bado.
NoSo, ni sawa tu?
Ww Akili huna kwa sababu hata ujinga wa kawaida huwezi kuuona kwa kutumia macho yako na Akili,hatukushangai kwa sababu nchi kuwa na wajinga na wapumbavu kama ww wanaoshangilia uovu hawakosi,tunakuombea kwa MUNGU ili siku moja upate Akili kama wenzako wengine,una bahati kuingia humu jamii forum MUNGU hajakuleta hapa kwa bahati mbaya utapewa maarifa mengi kikubwa zingatia darasa timeshakupima tayari.Padre Kitima huwa anachemka katika maoni yake mara nyingi tu.
Liberia walichinjana miaka ya nyuma na kwa sasa ni nchi imejaa vilema wanaotembea na magongo, na wao walikuja nchini kwetu kujifunza siasa za uhasama?.
Sudan na Somalia wanapigana kabla hata yeye hajajiunga seminary kusomea upadre, na wao wamejifunzia hapa Tanzania hizo siasa za chuki?.
Huyu ni meneja wa kampeni wa CHADEMA wa mwaka 2020, anajisahau na kuliingiza kanisa zima kwenye siasa za vyama vingi, halitendei haki kanisa na sisi waumini.
Nguvu ile tuliyotumia kujikomboa kwa mkoloni mweupe haitoshi kutukomboa kwa huyu mkoloni mweusi ccm.Ni aibu hii sio nchi aliyoiacha Mwalimu Nyerere ambayo ilikuwa ni mwenyeji wa vikundi vingi vya wapigania uhuru na kutoa hifadhi ikiwepo Makao Makuu ya Kamati ya Ukombozi ya Bara la Afrika. Miongoni mwa waliowahi kuishi Tanzania ni Nelson Mandela na Samora Machel.
“Nchi ambayo ilikuwa inakimbiliwa na kila mtu kuja kujifunza siasa safi, sasa hivi zipo nchi zinakuja kujifunza siasa chafu. Kuna nchi moja imejifunza juzi siasa zetu chafu tulizozifanya 2020, tunavyoongea hapa sasa hivi wanauana, walikuja wakajifunza hapa, na mwaka huu pia walikuja. Tuliwafundisha siasa safi wakawa wana uvumilivu lakini juzi tukawafundisha siasa chafu; namna ya kuwashughulikia wapinzani, wamewashughilikia wapinzani na hali ni mbaya kule”- Padre Dkt. Charles Kitima.
Leo ni tofauti wahuni wanaotaka kuharibu demokrasia za nchi zao, kujifunza kuiba kura na kupindua matokeo ya uchaguzi na kuweka vibaraka wao ndio tunaowakaribisha kuja kujifunza siasa chafu kutoka kwetu. Aibu.
Nenda kamsome Muhamad na vita alivyokuwa navyo. Usiwe mjinga dogo. Pata Elimu. Hawa watumishi wanaongoza watu. Mbona wanasiasa huenda kwa hawa hawa kuombewa? Na mbona wakisema Maza mitano tena mnawasifia? Wakisema amechaguliwa na mungus mnawakubalia?wakipinga uchafu ndo hawafai kwenye siasa?wawe wanaimba sifa na mapambiowanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa