Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna namna Tanzania inaweza kuingia kwenye vita eti kwa sababu kuna padre fulani mkatoliki anaamini hivyo.Kwahiyo wewe unataka Tanzania iingie kwenye vita ya wenyewe? Au wewe unatataka apige siasa za chama tawala? Ndugu! Prevention is better than cure.
Hakuna nchi inayojifunzia vita hapa Tanzania, vita katika bara hili zimekuwa zikianzishwa miaka na miaka kwa sababu mbalimbali.Umechanganya mada
Ila unatakiwa uelewe mkataba wa dp world ni kaa la moto .
Tatizo mnakurupuka
Mpina arejea bungeni akiwa na hoja tano nzito | Nipashe
www.ippmedia.com
Hana hoja huyo zaidi ya kutaka kuifitinisha serikali na wananchi, na wenye akili timamu walishamgundua kitambo sana.Analiingizaje Kanisa kwenye siasa while kila mtu ana itikadi yake ya kisiasa?
Hizo hoja ulizozijenga kupinga alichokisema Kitima ni 100% irrelevant based on time.
Kitima ametolea mfano wa hiyo nchi katika nyakati hizi, na si zamani..
Ukiangalia Somalia ilichafuka mda mrefu in 90's, Liberia tangu 1989 kulikuwa na machafuko Hadi miaka ya 97.
Machafuko ya hizo nchi yanafahamika sababu zake,lakini hili la Kitima kalizungumza kwa code zaidi na kimsingi hiyo nchi inafahamika endapo uta connect dots...
Shida yako wewe ni adui wa Chadema,na unafikiri yeyote anayetoa mawazo mbadala basi unamuweka kundi la Chadema tu...
Na siasa ni mfumo mzima wa maisha !Hapo anakemea maovu yanayotokea kwenye jamii .
Kuhubiri dini ni pamoja na kukemea maovu yanayofanywa hata na wanasiasa.
Kwa hiyo wanasiasa wakifanya maovu viongozi wa dini wakae kimya wasikemee kwamba wataonekana wanafanya siasa?