Padre Dkt. Kitima: Zipo nchi siku hizi zinakuja kujifunza siasa chafu Tanzania


wanaacha kuhubiri dini wanataka kuwa wanasiasa ni ujinga wa hali ya juu hawa wanaojifanya watumnishi kumbe wanasiasa
CCM wenyewe tu kwenye kura za maoni wameumizana kura zimeibiwa na wamerudishwa vilaza na washenzi kwenye nafasi za kugombea CCM haitaki kusikiliza wanachama wake yenyewe.hilo nalo hulioni linaweza lisiwe kosa lako pia labda hukulelewa vzr na wazazi wako ili ujue ubaya ni nn.
 
WAISIHARAMU WATAPINGA ...SAMIA BUSHIRI NI LAANA YA TAIFA NI FIRAUNI WA ZAMA HIZI
 
Yes,
ni kama wewe Fr. Kitima unavyo fanya bidii sana kuligawanya kanisa katoliki kwa siasa chafu za chuki na mirengo.

Na hizo siasa chafu hiyo nchi anayoisema ilikuja kujifunza Tz, bilashaka ilifundishwa siasa chafu na kanisa katoliki Tanzania right ??🐒
 
Mimi ni mkristo tena KKKT mbona hatukumsikia akisema hiyo wakati wa chuma JPM? Na je hata baada ya ushindi wa kishindo 2020 mbona walimpongeza?
 
Sidhani kama kuna Watanzania wanachukiavserikali yao ila selikali yao ndiyo haiwatendei Haki. Ni ukweli usiyo pingika Wananchi wengi wanakiunga mkono CCM ndiyo maana wanapata nguvu ya kubaki madarakani na hiyo ndiyo Demokrasia. Kuna figisu za hapa na pale kwenye chaguzi lakini haziwezi kusababisha matatizo yoyote kwa sababu watanzania walio wengi wamelidhia hizo figisufigisu. Basi mimi niseme tu, tutaendelea na siasa za namna hii mpaka watanzania watakapo amka wote, ila kwa sasa sioni Dalili yoyote ile yakuishinda CCM hata kwa Robo ya kura. Wana watu wengi wanawaunga mkono, wanafedha za kumwaga, wana watu wenye elimu nzuri, wanavyombo vyote vya dola na wana kila aina ya lasilimali yakuwawezesha kushinda. Wapinzani wasubiri hisani tu ya baadhi ya majimbo na mitaa watakayo pewa washukuru. Ila kushinda kwa uwezo wao, ng'ooo nakataa.
 
Analiingizaje Kanisa kwenye siasa while kila mtu ana itikadi yake ya kisiasa?
Hizo hoja ulizozijenga kupinga alichokisema Kitima ni 100% irrelevant based on time.
Kitima ametolea mfano wa hiyo nchi katika nyakati hizi, na si zamani..
Ukiangalia Somalia ilichafuka mda mrefu in 90's, Liberia tangu 1989 kulikuwa na machafuko Hadi miaka ya 97.
Machafuko ya hizo nchi yanafahamika sababu zake,lakini hili la Kitima kalizungumza kwa code zaidi na kimsingi hiyo nchi inafahamika endapo uta connect dots...
Shida yako wewe ni adui wa Chadema,na unafikiri yeyote anayetoa mawazo mbadala basi unamuweka kundi la Chadema tu...
 
 

Attachments

  • b3a34e7e631270a9e73fdd13db687369.mp4
    3.6 MB
Huyu padre abaki kwenye dini. Hajui siasa. Mawazo yake yameegemea kwenye mtazamo wa Chadema ambayo yeye pia ni mfuasi. Angewaambia wenzake wajifumze siasa za hoja sio za matukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…