THE BIG SHOW
JF-Expert Member
- Feb 28, 2012
- 18,873
- 15,267
Wana laana sana hao TECMavi mama yako, kitima na walevi wenzake wakimtumia kondoo wao lisu ndiye aliyewashawishi vijana wao kufanya vurugu
Ndiyo maana kwenye uapisho wa rais wakatuaminisha waliouawa wako mbinguni, maana wamepigana vita vitakatifu vya msalaba
Wekeni wazi basi sababu zao umma ujue.Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
KabisaWana laana sana hao TEC
Na wakae wakijua zama za mfumo kristo nchi hii zimeisha
Hivi unaandika ukuma km huu unatumwa na nani ?Mavi mama yako, kitima na walevi wenzake wakimtumia kondoo wao lisu ndiye aliyewashawishi vijana wao kufanya vurugu
Ndiyo maana kwenye uapisho wa rais wakatuaminisha waliouawa wako mbinguni, maana wamepigana vita vitakatifu vya msalaba
Alikopigwa nondo ya kichwa ni kambini kwao TEC,kuna CCTV camera,watuoneshe video footage zao,watu wanapigana baada ya kulewa unataka kusingizia wengineWekeni wazi basi sababu zao umma ujue.
Maana hata alipigwa nondo ya kichwa, waliompiga wako wapi??
Kama haupo kwenye circle ya ccm ile ya wahuni,basi wewe ni bonge la fala..huwezi tete udhalimu huu unaofanywa na serikali.Wametekwa wangapi mpaka vijana nchi nzima kuamua kufanya vurugu siku ya uchaguzi, kuchoma moto miundombinu na mali za binafsi,kuua askari?
Yaani kijana Amefaulu na kupata Shahada ya masuala ya Oil na Gas kwa Sasa anaendesha Bodaboda kwa kuwa tu anaingiza fedha za kujikimu kutokana na pikipiki yake hiyo unasema hiyo ni ajira stahiki! Kweli???'ajira stahiki'
Kwahiyo ulitaka usubiri mpaka RizOne au Abdul atekwe ndiyo watu waandamane?Wametekwa wangapi mpaka vijana nchi nzima kuamua kufanya vurugu siku ya uchaguzi, kuchoma moto miundombinu na mali za binafsi,kuua askari?
Hakuna Padre aliyesema waliouawa 29/10 wako mbinguni?.. maana yake nini kama siyo wamemmfia Mungu wa TEC?Hivi unaandika ukuma km huu unatumwa na nani ?
Kwahiyo serikali IMEKUFA, haina kitu.Alikopigwa nondo ya kichwa ni kambini kwao TEC,kuna CCTV camera,watuoneshe video footage zao,watu wanapigana baada ya kulewa unataka kusingizia wengine
Kwamba watu hawatekwi?Haya siyo matatizo ya vijana,haya ni kisingizio tu, akina kitima Wana sababu zao
Napinga udhalimu wa genge la upagani wa Roma,hii nchi si ya kanisa,natetea tzKama haupo kwenye circle ya ccm ile ya wahuni,basi wewe ni bonge la fala..huwezi tete udhalimu huu unaofanywa na serikali.
Kama wewe sio mnufaika nao.
Wapi kila kijana aliyesoma ana ajira ya kitu alichosomea?Yaani kijana Amefaulu na kupata Shahada ya masuala ya Oil na Gas kwa Sasa anaendesha Bodaboda kwa kuwa tu anaingiza fedha za kujikimu kutokana na pikipiki yake hiyo unasema hiyo ni ajira stahiki! Kweli???
Ali kamwe akipigwa ukumbini klabuni yanga,tutadai CCTV camera footage, kitima alipigwa ndani ya kambi yao,Wana CCTV camera,watuonesheKwahiyo serikali IMEKUFA, haina kitu.
Kila mtu ajilinde mwenyewe na kodi yake abaki nayo nyumbani.
Baada ya kumakamata yule mtu aliyemtishia Kitima, Polisi wao wanasema wamefikia wapi??Ali kamwe akipigwa ukumbini klabuni yanga,tutadai CCTV camera footage, kitima alipigwa ndani ya kambi yao,Wana CCTV camera,watuoneshe
Hivi umewahi kujitathmini ukajigundua unaakili iliyokamilika kabisa??Wapi kila kijana aliyesoma ana ajira ya kitu alichosomea?
Mhh...Wana laana sana hao TEC
Na wakae wakijua zama za mfumo kristo nchi hii zimeisha
Aliyemtishia ndiye aliyempiga?.. kitima alimuona aliyempigaBaada ya kumakamata yule mtu aliyemtishia Kitima, Polisi wao wanasema wamefikia wapi??
Au hizo CCTV tunapewa sisi watu wa JF??
9D toka ubomolewe uende mbinguni,umuache kitima akilewaHivi umewahi kujitathmini ukajigundua unaakili iliyokamilika kabisa??