PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Padre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre."

1768369463637.jpeg

Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani, ameagwa leo Ijumaa tarehe 19/12/2025 katika Kikanisa kilichopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Kurasini Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Ambapo ataelekea Roma kwa ajili ya kuanza majukumu yake hayo mapya.

Kama kuna uwezekano akimbilie kwenye ubalozi wa Vatican kisha asaidiwe na ubalozi kutoroka nje ya nchi ambayo ni salama kwake akakae ukimbizi huko hadi hali itulie nchini
 
Wamisionari wa damu Aziz ndio nini makafiri bana

Halafu mtu hajaoa anawezaje kutoa ushauri mtu ambaye hajaoa ni muhuni tu...
 
WANABIDI KUWA WANAOA HAWA WATU

KWAKUWA HWAWELEWI MAMBO MENGI

WANAZUNGUMZA KAMA MASELA WA GHETO.
 
Back
Top Bottom