Sangizi
JF-Expert Member
- Nov 9, 2015
- 2,519
- 5,504
Huyo Jay Z angekuwa na akili kama zako pengine leo angekuwa anauza madafu pale New YorkAnatengeneza taharuki huyo
Ndo maana huwa nawashauri waoe
Huyo Jay Z angekuwa na akili kama zako pengine leo angekuwa anauza madafu pale New YorkAnatengeneza taharuki huyo
Ndo maana huwa nawashauri waoe
Ila wanaoteka na kuua watu ndio wana akiliHuyu mtu anamatatizo ya akili sio bure
dahhPadre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre."
Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani, ameagwa leo Ijumaa tarehe 19/12/2025 katika Kikanisa kilichopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Kurasini Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Ambapo ataelekea Roma kwa ajili ya kuanza majukumu yake hayo mapya.
Haimaanishi yeye ni mzima kwa sababu wao pia hawana akiliIla wanaoteka na kuua watu ndio wana akili
Kwa hiyo siku hizi zile kauli Uislamu hauruhusu mwanamke kuwa kiongozi hazipo tena bali mmeungana kumtetea mtoa roho za Watanganyika, Mungu awasaidie muijue kweli na muache kuua watanganyika wasio kuwa na hatia Shehe wenu alisema atakata watu vichwa ajabu amepangishiwa na nyumba kabisa na ulinzi kapewa Padre Kitima anayesema ukweli anawindwa kama Panya aliuliwe.Sio nyinyi kwamba mnasemaga wagalatia mko wengi kuzidi waislamu nchini, mbona sasa mnategemea hao mashoga wa roma
Si mlianzishe basi tukutane mitaani
Tunawindana km wanyama pori
ukikosoa tu mafwele na genge lake la bi chura wanasepa nawewe!
Huyu padre hana maisha marefu.
Si uende akakuoe mkuu ili asiongee maneno usiyopenda kusikia?Anatengeneza taharuki huyo
Ndo maana huwa nawashauri waoe
Nani aliyekuambia lazima kuoa?Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Mimi ignore list imejaa sasa.Hii serikali ya ******* badala ya kutatua changamoto za wananchi wao wapo busy kuwapatia fedha vijana machawa wao ili wajibu kila hoja zinazowanyima furaha mtandaoni.
Kumekuwepo na trend ya hoja yoyote yenye mashiko inayokwenda kinyume na serikali ya Bi chura Kizimkazi kishambuliwa bila hoja na hawa ng'ombe wa Samuya!
Kwa hiyo kama anawindwa auwawe akae kimya?Ndio hapo watu wakisema TEC wanachochea hizi mambo
Na sababu tunaijua ni udini
Kila Raisi akiwa muislamu, wanawashwawashwa, sasa hii idadi ya matamko mbona haiwiani na maraisi wagalatia?
View attachment 3517775
Alikwambia ana shida ya kuoa??Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.