PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mara ya mwisho Padre Kitima Uliongea ki ushabiki na Maneno Yako yalikua yakiashiria ku unga mkono maandamano yasiyo na kikomo ya kuipindua serikali.
Maneno yale yalionyesha kumbe Kuna muda binadamu kuwa na Elimu kubwa ya Darasani hakumsaidii katika baadhi ya mambo.
Pale elimu uliyonayo ilionekana Bure kabisa, Tunajua ulishambuliwa na kunusurika ku uwawa na Watanzania walipiga kelele na kukemea jambo ilo, ila kitendo cha kutaka taifa Zima li ingie matatizoni kwasababu ya hisia zako ulitukosea sana kama Nchi.
Inshallah Mungu atakulinda kwa magumu unayopitia ila pima kaulizako zinazoweza kupelekea vurugu.
 
QUOTE OF THE DAY: A hardworking person never fails in his succession but a lazy person dies poor.
 
Wazazi wengine wametuletea watoto mitihani hii dunia , sasa hapa mzee si angepiga tu nyeto !
Kuliko kulea mtu mzima unamlisha , unamsomesha anakuja kuandika utumbo kama huu !
Aisee Dunia hii imejaza matakata! Hili nalo ni takataka mkuu!
 
Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa

Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Mtoto wa kike ziba tundu lako la haja kubwa utafirwa
 
Kama kuna uwezekano akimbilie kwenye ubalozi wa Vatican kisha asaidie na ubalozi kuroka nje ya nchi ambayo ni salama kwake akakae ukimbizi huko hadi hali itulie nchini
Mungu wake ,Aliemfanya akaacha yote na kuwa Mtumishi wake.Ndie anaemua siku na aina ya Kifo.

Mt 10:28​

Msiwaogope wauuao mwili, wasiweze kuiua na roho; afadhali mwogopeni yule awezaye kuangamiza mwili na roho pia katika jehanum.🙏🏼
Hao wanaotaka angamiza roho yake ,Yakiwa Mapenzi yake Mungu anaemwamini Fr.Kitima watakufa wao nae atashiriki mazishi yao
 
Amina
 
Kama kuna uwezekano akimbilie kwenye ubalozi wa Vatican kisha asaidie na ubalozi kuroka nje ya nchi ambayo ni salama kwake akakae ukimbizi huko hadi hali itulie nchini
Kanisa halijawahi kukimbia wauwaji ama watesi. Likifanya hivyo maana yake wauwaji ni wakubwa kuliko kanisa. Msikilize Kitima unaona roho ya uwoga ya kuwakimbia wauwaji? Na kasema ana bado mwaka na nusu kwenye ukatibu wa baraza. Sala zetu kwako Fr Kitima.
 
Inaashiria incompetence ya kiwango cha lami cha maustazi
Sawa, ila kwa sasa mmekabiwa kwa juu mpaka viongozi wenu wa dini wanaishi kama digidigi.
Mtatoa milio ya kila aina na hakuna rangi hamtaona
 
Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa

Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Kama unamkubali kwa kiasi hiki, kwa nini usimshawishi akuoe ili mjenge hiyo familia. Mbona Dr. Slaa alikuwa pia ni Katibu mkuu wa TEC, na baada ya kushawishiwa alivua kanzu na kufunga ndoa!

NB: uniwie radhi kama una jinsia kama ya kwangu.
 
Back
Top Bottom