Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Ni kweli viongozi wetu wa Katoliki wanaishi kwa tahadhari kubwa kwa sababu tu ya kuwahofia nyinyi wahuni na vilaza msio na akili. Ila ungetuambia na yule Ibilisi wenu mkuu inakuwaje na yeye anaishi kwa kujificha, na wakati mnamlinda pande zote na silaha za kila aina?Sawa, ila kwa sasa mmekabiwa kwa juu mpaka viongozi wenu wa dini wanaishi kama digidigi.
Mtatoa milio ya kila aina na hakuna rangi hamtaona