Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Matatizo yapi ya Kitima yamesababishwa na dini?Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo
Kama kuna uwezekano akimbilie kwenye ubalozi wa Vatican kisha asaidiwe na ubalozi kutoroka nje ya nchi ambayo ni salama kwake akakae ukimbizi huko hadi hali itulie nchiniPadre Kitima amuaga Padre Chesco Msaga kwa Maneno mazito | "Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre."
Padre Chesco Msaga C.PP.S aliyechaguliwa kuwa Katibu Mkuu wa Shirika la Wamisionari wa Damu Azizi ya Kristo Duniani, ameagwa leo Ijumaa tarehe 19/12/2025 katika Kikanisa kilichopo ndani ya Makao Makuu ya Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Kurasini Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam. Ambapo ataelekea Roma kwa ajili ya kuanza majukumu yake hayo mapya.
Wewe nawe ni welewale tu dumu na mfuniko.Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo
Wanatakiwa kufanyaje hao Jesuits?Huko roman ma Jesuit wamesha? Mbona kama mnalegalega siku hizi?
Mambo ya ki jesuitWanatakiwa kufanyaje hao Jesuits?
Mtu hajaoa unategemea kichwa chake kitakuwa sawa huu ni ujinga wa kiwango cha lami hata kama ana PHD ni hivyo tuMatatizo yapi ya Kitima yamesababishwa na dini?
Wamisionari wa damu Aziz ndio nini makafiri bana
Halafu mtu hajaoa anawezaje kutoa ushauri mtu ambaye hajaoa ni muhuni tu.