Ni kweli viongozi wetu wa Katoliki wanaishi kwa tahadhari kubwa kwa sababu tu ya kuwahofia nyinyi wahuni na vilaza msio na akili. Ila ungetuambia na yule Ibilisi wenu mkuu inakuwaje na yeye anaishi kwa kujificha, na wakati mnamlinda pande zote na silaha za kila aina?Sawa, ila kwa sasa mmekabiwa kwa juu mpaka viongozi wenu wa dini wanaishi kama digidigi.
Mtatoa milio ya kila aina na hakuna rangi hamtaona
Mawazo ya wajinga wajinga.Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Kwani wewe bosi wako anakuja kwenye vilinge vyenu vya kahawa?Ni kweli viongozi wetu wa Katoliki wanaishi kwa tahadhari kubwa kwa sababu tu ya kuwahofia nyinyi wahuni na vilaza msio na akili. Ila ungetuambia na yule Ibilisi wenu mkuu inakuwaje na yeye anaishi kwa kujificha, na wakati mnamlinda pande zote na silaha za kila aina?
Mwambieni aje mtaani atuimbie taarabu. Tumemiss vichambo na mipasho yake.
I mtaji wa kwanzaHizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Boss yupi tena! Mimi ndiyo Boss mwenyewe. Na kichwa changu ndiyo serikali.Kwani wewe bosi wako anakuja kwenye vilinge vyenu vya kahawa?
Rais huyu huyu aliyepora uchaguzi na kufanya mauaji anaweza kufanya hayo? Mtu kuoa ama kuolewa ni jambo personal, haina mahusiano yoyote na ubora wa mtu kiuongozi. Hao walioolewa na kuoa si ndio hao wana michepuko kibao, na wanaume wanabambikiwa hadi watoto wasio wao kwa kushindwa kuwahudumia wake zao kimwili na kifedha?Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa
Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Basi huyo ujue yule ni bosi wako, hata kama humtaki, ndio hali halisi, kama vipi hamia BurundiBoss yupi tena! Mimi ndiyo Boss mwenyewe. Na kichwa changu ndiyo serikali.
WANABIDI KUWA WANAOA HAWA WATU
KWAKUWA HWAWELEWI MAMBO MENGI
WANAZUNGUMZA KAMA MASELA WA GHETO.
Mtu hajaoa unategemea kichwa chake kitakuwa sawa huu ni ujinga wa kiwango cha lami hata kama ana PHD ni hivyo tu
Sisi watu wa saikolojia tunajuaMatatizo yapi ya Kitima yamesababishwa na dini?
Kama unamkubali kwa kiasi hiki, kwa nini usimshawishi akuoe ili mjenge hiyo familia. Mbona Dr. Slaa alikuwa pia ni Katibu mkuu wa TEC, na baada ya kushawishiwa alivua kanzu na kufunga ndoa!
NB: uniwie radhi kama kama una jinsia kama ya kwangu.
Rais hana tatizo mama hajawahi kuwa na shidaRais huyu huyu aliyepora uchaguzi na kufanya mauaji anaweza kufanya hayo? Mtu kuoa ama kuolewa ni jambo personal, haina mahusiano yoyote na ubora wa mtu kiuongozi. Hao walioolewa na kuoa si ndio hao wana michepuko kibao, na wanaume wanabambikiwa hadi watoto wasio wao kwa kushindwa kuwahudumia wake zao kimwili na kifedha?
Umepewa hela ngumu kweli, kwa kazi ya kutetea muuaji shughuli unayo.Rais hana tatizo mama hajawahi kuwa na shida
Umejuaje kuwa nimepewa hela mkuu?Umepewa hela ngumu kweli, kwa kazi ya kutetea muuaji shughuli unayo.
Nimekujibu kwa hoja. Hakuna mahali nimekutukana. Nimekutolea na mifano hai. Dr. Slaa ni mfano halisi wa nilicho zungumza.Hii ndo shida hamna tena hoja zaidi ya matusi
Unauliza hirizi Tanga?Umejuaje kuwa nimepewa hela mkuu?
SawaUnauliza hirizi Tanga?