PostGE2025 Padre Kitima: Natafutwa sana ili waniue, naomba uniombee Padre Chesco

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
dahh
 
Sio nyinyi kwamba mnasemaga wagalatia mko wengi kuzidi waislamu nchini, mbona sasa mnategemea hao mashoga wa roma
Si mlianzishe basi tukutane mitaani
Kwa hiyo siku hizi zile kauli Uislamu hauruhusu mwanamke kuwa kiongozi hazipo tena bali mmeungana kumtetea mtoa roho za Watanganyika, Mungu awasaidie muijue kweli na muache kuua watanganyika wasio kuwa na hatia Shehe wenu alisema atakata watu vichwa ajabu amepangishiwa na nyumba kabisa na ulinzi kapewa Padre Kitima anayesema ukweli anawindwa kama Panya aliuliwe.

Jiangalie boss dini yetu haifundishi magomvi/vita/kujitoa mhanga kama yenu sisi tunahubiri amani, upendo na kusema kweli daima.
 
Tunawindana km wanyama pori
ukikosoa tu mafwele na genge lake la bi chura wanasepa nawewe!

Huyu padre hana maisha marefu.


Kwa kweli kwa mara ya kwanza tunashuhudia nchi inavyoweza kubadilika, mkiwa mna watawala shetani. Hakuna mwenye uhakika na kesho yake. Watawala waliotakiwa kutoa hakikisho ya kiusalama kwa wananchi, wamegeuka kuwa tishio wa usalama wa wananchi.
 
Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa


Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Nani aliyekuambia lazima kuoa?
Ukioa lazima ukae na familia?
Usikariri maisha.
 
Mimi ignore list imejaa sasa.
 
Ulishiriki kumtia mtegoni malkia na Sasa amenasa Hana ujanja,Sasa hataki kuzama peke yake bila wewe coz ume m expose kitaifa na kimataifa yaani hakuna anaemwamini labda Mimi ninaeamini Hana hatia coz aliingizwa mtegoni bila kujijua kua huo ni mtego!

Na mtego mkuu ni chawa kumwimbia wimbo wa kugombea nafasi ile na ameipata ,tatizo inanuka uvundo wa Damu! Na mbwa mwitu wanamwinda Kila mahali coz ya harufu!!
 
Hizi Dini zote uislam na ukristu nigekuwa Rais ningezifuta hazina maana zaidi ya kuendelea kumfanya MTU mweusi Kama mtumwa


Mfano Kitima smart guy Ila dini inamfanya anapata matatizo anashindwa mpaka kuoa kukaa na familia.
Alikwambia ana shida ya kuoa??
Kama unamtamani kampe sabur.i lako ajipakulie.
 
Kulingana na mfumo ulivyo kabla ya kuzifuta ni chap kwa haraka unafutwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…