Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

Padre Kitima: Suala la kuminywa haki za Wamasai wa Ngorongoro si sahihi

Kwamba waalitakiwa kufanya nini? Kuna falsafa inasema hivi: "An army of sheep led by a lion is better than an army of lions led by a sheep. This undescore the importance of subjects to support strong leaders who choose to take risk to lead them. Kama hawataungwa mkono kwa sababu mbali mbali hawapaswi kulaumiwa hata kidogo. Tatizo linakuja kwamba mara nyingi hoja yenye mashiko ambayo inafaa kuungwa mkono na watu wengi au watu wote kwa maslahi ya wengi hudandiwa na wanapropaganda kwa kuhamisha mjadala kuanza kujadili watu kwa misingi mbali mbali ikiwemo histora, itikadi, dini hali ya maisha n.k.!! Na katika hili Chama Tawala kimefanikisha kwa kiasi kikubwa, Kasome kitu kinachoitwa adhominem fallacy. Kesho utakuta watu wanajadili "Maaskofu wanamkosoa Rais Kwakua ni mwislamu" Kesho utaskia "Kwa sababu ni Mzanzibari' Badala ya mjadala kujikita katika hali halisi ya Maasai Cummunity and challenges mjadala utahama na ajenda kushahulika!!! uswalaumu they are playing their part to the marked limit that they cant cross or go bryond. iwapi nafasi yako na wewe?
I am convinced you know what you are talking about.

I look forward to reading some more of such ideas from you.
 
Jibu swali mnafiki wewe, udini wako ni wa kuzusha tu.
TEC hawana jipya, walikula za uso siku ya kusaini mkatsba na DP World, bado inawauma ile.

Umesahau?

Muunguja majibu yake ni vitendo tu.
 
TEC hawana jipya, walikula za uso siku ya kusaini mkatsba na DP World, bado inawauma ile.

Umesahau?

Muunguja majibu yake ni vitendo tu.
Sasa subiri vitendo vitakvyo jibu hivyo vitendo vya kihayawani. Usifikiri yamefikia mwisho.
 
Ihakika nilionao ni kwamba wewe huwezi kuiona pepo kutokana na unafiki
DP World wanedeleaje bandarini huko?

Unaelewa na wale Aidan, shareholders wakubwa ni wa Abu Dhabi?

Bandari nusu Dubai, nusu Abu Dhabi .

Mama anawashindanisha kiaina ya pekee.

Haijawahi kutokea duniani.
 
WasafiTV wamepost video clip akijnasibu kuwa yeye ni gwiji la sheria lkn kitu cha hovyo kama hicho. Ngoja niitafute niilete kama ilivyo
Itapendeza sana tukimsikia mwenyewe alivyo sema.
Hata wakati mwingine huwa nashindwa kuelewa baadhi ya watu wenye ufahamu wa kutosha juu ya jambo, halafu wakarudi nyuma kujiumauma wakati wanapo takiwa kusimamia wanayo yajuwa. Huyu hatakuwa wa kwanza.
 
Sasa subiri vitendo vitakvyo jibu hivyo vitendo vya kihayawani. Usifikiri yamefikia mwisho.
DP World wanedeleaje bandarini huko?

Unaelewa na wale Aidan, shareholders wakubwa ni wa Abu Dhabi?

Bandari nusu Dubai, nusu Abu Dhabi .

Mama anawashindanisha kiaina ya pekee.

Haijawahi kutokea duniani.
 
DP World wanedeleaje bandarini huko?

Unaelewa na wale Aidan, shareholders wakubwa ni wa Abu Dhabi?

Bandari nusu Dubai, nusu Abu Dhabi .

Mama anawashindanisha kiaina ya pekee.

Haijawahi kutokea duniani.
Hii ndiyo takataka gani unaleta hapa. Mada inasema kitu gani na wewe unaleta nini hapa?

Hizi akili za kilevi siku zote zinakusumbua sana.
Ushauri kwako ni huu: unapokuwa umelewa hicho kilevi chako usije mbele za watu JF kutoa usumbufu wako kama mlevi.
 
Katibu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoriki Tanzania Daktari wa Falsafa na Padre ndugu Kitima amesema si haki na ni udhalilishaji wa wazi wanafanyiwa Wamasai wa NGORONGORO kwa kunyimwa haki zao.

"....leo hii tunapozungumza ndugu zetu Wamasai wa kule NGORONGORO wanatuma ujumbe mbaya wenye twasira hasi Kimataifa. Unapowaeleza ni hiari yao kubaki NGORONGORO halafu ukiwanyima haki zao za msingi huo ni ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu! Jiulize kwa walichokifanya leo huko Duniani waelevu wanatufikiriaje!?" Amehoji Kiongozi huyo mtendaji wa TEC.

Chanzo: Jambo TV

Pia soma:Kuelekea 2025 - Wamasai Ngorongoro wamechoka kunyang’anywa ardhi yao na kupewa Mwarabu, Wameamua liwalo na liwe
Nyie juzi mmeua msanii Mandojo kanisani kwenu mkiwa na majoho, biblia, mikate na wine, mbona hamjatoa kauli?
 
Hii ndiyo takataka gani unaleta hapa. Mada inasema kitu gani na wewe unaleta nini hapa?

Hizi akili za kilevi siku zote zinakusumbua sana.
Ushauri kwako ni huu: unapokuwa umelewa hicho kilevi chako usije mbele za watu JF kutoa usumbufu wako kama mlevi.
Kwani haiongelewi bandari ya Ngorongoro hapa?
 
Nashangaa wanaowasemea binadam ili waishi kwenye makaazi ya wanyama pori.

Wanyama watalindwa na kusemewa na Makhalifa (Vicegerents), hakuna shaka wala hakuna atakae waingilia kwenye maeneo yao ya asili kibabe.
 
Back
Top Bottom