zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Udini ni upi hapo? Watu mnaakili za ajabu sana. Huyu kitima mbona alimkosoa sana JPM enzi zake na alikemea utekaji mbele ya JPM bila uoga kwani JPM alikua muislam?Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.
Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
Wanataka ukweli acheni kujifanya miungu watu.Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Karibu sana!!
Kwa nini tatizo unaloona wewe ni TEC, na huoni taarifa inayowasilishwa.Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Karibu sana!!
Wewe ndo mshenga uliyelamba uwaziri?MNAFIKI MKUBWA WE!!
Jibu lipo wazi tu, wanataka Shari.....inaonekana wenzetu wamejiandaa.
hakiHivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
HAKIWanatutaka nini' TEC watanzania?!!!!!!!!
Kukimbilia neno UDINI hilo tunalitegemea, yaani mkishabanwa hoja hiyo ni kawaida yenu mbona...mashehe wa bar kwata wanajipanga tunasubiri kusikia ujinga wao!Yaani hilo ndilo linalonishangaza Mimi. Waziri mkuu ameongea juzi na huyu ni mmojawapo aliyeenda kumuona. Sijui walichoongea lakini Nina uhakika alimsihi kujizuia kutoa kauli zenye kuleta taharuki zaidi. Kama hiyo haitoshi, Raisi anaongea kesho. Sasa ghafla huyu anakuja na hoja zake hizi ambazo ndani yake sioni dalili yoyote ya viashiria vya amani Bali ni vurugu zaidi. Nilifikiri viongozi wa dini kazi ni kukemea tu lakini naona hawa wanatoa mpaka hukumu nini kifanyike. Inashangaza.
Nimesikitishwa sana na hili na linaleta hisia zangu zoote nilizokuwa nazo kuwa kweli kabisa........UDINI!!!!!
HakiHivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Unauliza maswali kama mtu mwenye udumavu wa akili.Wanatutaka nini' TEC watanzania?!!!!!!!!
Wanataka ukweli japo hapo amefafanua kuwa yeye si msemaji TEC na hayo ni maoni yake binafsi, hebu jikite kwenye hoja zake na ukosoe pale aliposema uongo.Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Ukweli ufahamike, na wauaji na wezi wa kura wawajibike. Kama ni kukaa kimya wameshakaa sana, na matokea yake ni watu kutekwa, na kuwekewa viongozi wasiochaguliwa na umma. Una lingine kwa msaada zaidi? Ama miidhani mtaendelea kupora chaguzi miaka yote na watu wakae kimya tu?Hivi hawa TEC wanataka nini' haswa?!!!!!π‘π‘π‘π‘π‘π‘π‘
Kusema ukweli ndiyo kutaka shari? Kwani lazima nao wawe wanafiki kama BAKWATA? Mbona sheikh Ponda na mashehe wengine wametoa maoni yanayofanana na ya TEC?MNAFIKI MKUBWA WE!!
Jibu lipo wazi tu, wanataka Shari.....inaonekana wenzetu wamejiandaa.
Tarehe hiyo mkileta pua ni za uso tu kima nyie
Tarehe hiyo mkileta pua ni za uso tu kima nyie