Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Wananchi wakapige kura za nini wakati kila mtu aliye na akili timamu anajua nani atatangazwa mshindi?Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi.
Pia ametoa wito kwa waumini wa Kanisa Katoliki kutunza amani kuanzia kwa mtu mmoja mmoja na kwa wengine ilI kuepusha migongano isiyo ya lazima wakati wa uchaguzi.
Wewe hata usiposhiriki wengine watashiriki na uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa.Hata akihamasisha kwa kujigaragaza barabarani! Bado mimi kama mimi sitashiriki! Na uwezo wa kunipangia hana.
Ili apatikane mshindi.Wapige kura ili iweje?
Mshindi ni yule atakayepata kura nyingi.Wananchi wakapige kura za nini wakati kila mtu aliye na akili timamu anajua nani atatangazwa mshindi?
Nchi imejaa majuha ya kutupwa kabisa.
So what?Wewe hata usiposhiriki wengine watashiriki na uchaguzi utafanyika kama ilivyopangwa.
Ambaye obviously ni mgombea wa CCM.Mshindi ni yule atakayepata kura nyingi.
Tangu lini CCM wakahitaji kura za wananchi ili kushinda uchanguzi?Ili apatikane mshindi.
Kwa mazingira yeyote kwa sasa bado CCM ana numbers. Ni muhimu kuukubali ukweli mchungu..Ambaye obviously ni mgombea wa CCM.
Hakuna sababu ya kupiga kura.
Karatu ni CDM, Babati ni toss up, Arusha Mjini ni toss up (na imelean CDM - hadi uwe na mgombea mgumu sana (sio kina Batlida), Hai ni CDM, Mbulu pia ni toss up (japo imelean CCM), Vunjo huwa haitabiriki. Moshi mjini baada ya Ndesa kuondoka imerudi CCM.... Mengine sawa ni CCM (na hapa nazungumzia Mkoa wa Arusha, Kilimanjaro na Manyara). Kwa Tanga yote ni CCM.Kanda ipi ya Kaskazini kuna toss kidogo sana.?Jimbo lipi?Wacha kujipa moyo.Hakuna toss up yeyote Kanda ya Kaskazini ni CCM tupu.
Kwako sisi tutapiga iwe jua iwe mvua!Ambaye obviously ni mgombea wa CCM.
Hakuna sababu ya kupiga kura.