Akhi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2021
- 5,668
- 9,806
Tatizo % ile isije kosekanaHuyu Yuko tofauti na msimamo wa kanisa kuhubiri amani na haki haipo...may be agent🤔
Tatizo % ile isije kosekanaHuyu Yuko tofauti na msimamo wa kanisa kuhubiri amani na haki haipo...may be agent🤔
Kwa mazingira yeyote kwa sasa bado CCM ana numbers. Ni muhimu kuukubali ukweli mchungu..
Kuna maeneo mengi sana bado ni Green - yatampigia tu mgombea wa CCM. Toss up constituencies hazifiki hata 50. Ndiyo maana hata US - jimbo kama California lenye electoral votes 55 limekuwa likivote blue no matter mgombea wa Republican ni mzuri kiasi gani. Kusema watu hawatapiga kura ni kutokuelewa dhana ya demokrasia na electoral map ya Nchi yetu.
Ndiyo maana hata Padri Kitima alisema no matter what kwa sasa CCM ina ushindi wa zaidi ya 70%... Kanisa linajua na kama ni mfuatiliji unajua. Kuna scenes tu zinatengenezwa. Ila basi jamaa wana wafia dini wao. Kanda ya kati ni moja wapo; kanda ya pwani ni nyingine baada ya CUF kufa wameitek yote, mikoa ya kanda ya ziwa bado wanauungwaji mkono mkubwa sana kwenye majimbo ya vijijini... kanda y kaskazini ndiyo kuna toss up kidogo sana... sasa unategemea nn?
Wao wataenda na hiyo ndio changamoto..Ccm waache kusumbua watu.
..hakuna haja ya kupiga kura.
Ni jinius tu anayeweza kutambua hii code ...wewe bado sana ...wewe kwa akili yako unadhani huyo mgaratia anasema kweli anacho kisema ? Tatizo la waislamu ni uwezo finyu wa akili zao hivyo hata wewe umeshindwa kutambua siriUmechanganyikiwa waisiharamu ndio nani.?Aliyetoa wito huo ni mgalatia mwenzako. Au kusoma na kuelewa ni changamoto.
Kwa nini watu wakapige kura?Kwa mazingira yeyote kwa sasa bado CCM ana numbers. Ni muhimu kuukubali ukweli mchungu..
Kuna maeneo mengi sana bado ni Green - yatampigia tu mgombea wa CCM. Toss up constituencies hazifiki hata 50. Ndiyo maana hata US - jimbo kama California lenye electoral votes 55 limekuwa likivote blue no matter mgombea wa Republican ni mzuri kiasi gani. Kusema watu hawatapiga kura ni kutokuelewa dhana ya demokrasia na electoral map ya Nchi yetu.
Ndiyo maana hata Padri Kitima alisema no matter what kwa sasa CCM ina ushindi wa zaidi ya 70%... Kanisa linajua na kama ni mfuatiliji unajua. Kuna scenes tu zinatengenezwa. Ila basi jamaa wana wafia dini wao. Kanda ya kati ni moja wapo; kanda ya pwani ni nyingine baada ya CUF kufa wameitek yote, mikoa ya kanda ya ziwa bado wanauungwaji mkono mkubwa sana kwenye majimbo ya vijijini... kanda y kaskazini ndiyo kuna toss up kidogo sana... sasa unategemea nn?
Kwani Padre Kitima anasemaje? Kitima ni nyumbu kama wewe tu!Siyo kila anayeitwa padre ni Padre kweli. Wengine ni mapadre vipenyo, wengine ni wale ambao shetani huwaingiza kwenye Kanisa ili kulivuruga Kanisa. Ndiyo maana unasikia kuna mpaka 'mapadre wamewahi kupatikana na makosa ya kulawiti watoto, wengine mpaka kuiba pesa za Kanisa'; Hao japo wanaitwa mapadre lakini kiuhalisia siyo mapadre. Padre wa kweli hawezi kulawiti mtoto. Lazima tufahamu kuwa shetani huingia katika makundi yote.
Padre wa kweli wa Kanisa Katoliki kamwe hawezi kuwahamasisha watu kwenda kushiriki vitendo vya kwenda kubariki na kuhalalisha dhambi, vitendo vya kudhulumu haki, vitendo vya hadaa vinavyofanyika kwenye uchaguzi bandia.
Tanzania hakuna uchaguzi wa kweli bali kinachoitwa uchaguzi, ni hadaa ya waovu wachache kutaka kuhalalisha uovu wao wa kudhulumu haki ya wananchi kuwachagua viongozi wanaowataka.
Wachungaji wa kweli, mapadre wa kweli, maaskofu wa kweli, mashekhe wa kweli na maimamu wa kweli, watajulikana kwa kile wanachokisimamia, siyo kwa sababu wanaitwa mapadre, maaskofu au maimamu.
Ili wachague viongozi wanaowapenda.Kwa nini watu wakapige kura?
Kamuulize muhammad waisiharamu ni kina nani ...mbona hata yeye kawatajaja....kuwa kutakuwa na makundi ya wanaojidai waislamu 73 moja tu ndiyo ndiyo la kweli .....huyo mgaratia kaongea fumboUmechanganyikiwa waisiharamu ndio nani.?Aliyetoa wito huo ni mgalatia mwenzako. Au kusoma na kuelewa ni changamoto.
Kuna mwenzako ameua huko sasa ananyea ndoo. Mpelekee chai.Kafiri wahed.Kamuulize muhammad waisiharamu ni kina nani ...mbona hata yeye kawatajaja....kuwa kutakuwa na makundi ya wanaojidai waislamu 73 moja tu ndiyo ndiyo la kweli .....huyo mgaratia kaongea fumbo
Ni sawa na sista wa kanisa fulani anaefuatilia habari za wacheza filamu za ngono na maisha yao na majina yao na filamu zao ilihali yeye haruhusiwi kufanya ngono au kucheza ngonoKanisa katoliki lina msemaji wake yeye sio msemaji wa kanisa katoliki ayo ni maoni yake binafsi ambayo yanatakiwa kueheshimiwa