So that we can elect our leaders.So what?
So that we can elect our leaders.So what?
Wewe lazima upige.Kwako sisi tutapiga iwe jua iwe mvua!
Miaka yote ya uchaguzi.Tangu lini CCM wakahitaji kura za wananchi ili kushinda uchanguzi?
Kwani kutokupiga kura ni kuvunja amani ....waisiharamu ni wapumbavu sana..Paroko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi.
Pia ametoa wito kwa waumini wa Kanisa Katoliki kutunza amani kuanzia kwa mtu mmoja mmoja na kwa wengine ilI kuepusha migongano isiyo ya lazima wakati wa uchaguzi.
View attachment 3474983
Umechanganyikiwa waisiharamu ndio nani.?Aliyetoa wito huo ni mgalatia mwenzako. Au kusoma na kuelewa ni changamoto.Kwani kutokupiga kura ni kuvunja amani ....waisiharamu ni wapumbavu sana..
Mbona kama fakeParoko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi.
Pia ametoa wito kwa waumini wa Kanisa Katoliki kutunza amani kuanzia kwa mtu mmoja mmoja na kwa wengine ilI kuepusha migongano isiyo ya lazima wakati wa uchaguzi.
View attachment 3474983
Upuuzi nao ni kipaji. Hongera kwa kuwa mpuuzi.Miaka yote ya uchaguzi.
Padri anahisi watu hawaelewi kinachoendelea?Hivi hizi ni zama za kusimama altareni na kusema hivyo yeye mwenyewe anajua ukweli it's so sad it's best wamwambia asiongelee mambo ya siasa some ibada ahubiri vitu vingineWananchi wakapige kura za nini wakati kila mtu aliye na akili timamu anajua nani atatangazwa mshindi?
Nchi imejaa majuha ya kutupwa kabisa.
mshindi gani wakati mshindi tayari yupo?Ili apatikane mshindi.
Majitu ya namna hii yamevimbewa sadaka za bure, vileo na vinono vitokanavyo na jasho la waumini...hayajui kabisa mateso ya wananchi sbb kila j2 yanapokea sadaka na malimbukoParoko Msaidizi wa Parokia ya Peramiho, Padre Frederick Mwabena amesema ni wajibu wa Kanisa Katoliki kutunza amani katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu.
Padre Mwabena amesisitiza kuwa Kanisa Katoliki linawahamasisha wananchi kupiga kura siku ikifika, kwani ni haki yao ya msingi.
Pia ametoa wito kwa waumini wa Kanisa Katoliki kutunza amani kuanzia kwa mtu mmoja mmoja na kwa wengine ilI kuepusha migongano isiyo ya lazima wakati wa uchaguzi.
View attachment 3474983
mjuba acha uchokoziWameacha kufunga Novena?
kiingereza cha wapi hiki mjuba?So that we can elect our leaders.