Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,669
- 8,268
Meet you in heaven Fr. May your soul rest in heavenly peacePADRE PAUL HAULE ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milel
Daaaah Kuna Watu bado mna denial situation na MagufuliWaliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Freeman Mbowe alipiga naye picha kwenye msiba wa kaka yake!Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Kama mzaha hivi, ila kwa kweli yaani nikumbuka majigambo , kibri ,matusi, ubabe na ujuaji mwingi wa Magufuli , alivyotokomea😂😂😂Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Kwa hio Mchungaji Msigwa, Lissu na Mbowe nao tuwategemee?Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
AmenMeet you in heaven Fr. May your soul rest in heavenly peace
Kwani wengine huwa wanasemaje??.Kawaida kwa wakatoliki
Kha!,kha!,Kwa hiyo ambao hawakupiga nae picha wataishi milele??.Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
AminaBwana ametoa, Bwana ametwaa.
Jina la Bwana lihimidiwe.
mwanga wa amani umwaangazie.
Apumzike kwa amani.