TANZIA Padre Paul Haule ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele

TANZIA Padre Paul Haule ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele

Kama ndiye huyu Paroko wa St Peters aliyekuwa anamkaribisha Magufuli kwenye madhabahu ya Kanisa Katoliki ili afanye Siasa za kejeli na matusi basi mwache aende. Alikengeuka, Mungu hadhihakiwi.
 
Mhashamu Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 18/08/2021 saa 10.30 jioni hii mpendwa wetu PADRE PAUL HAULE ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele.

Akiwa katika matibabu ktika Hospitali ya Kardinali Rugambwa Ukonga.

Tutataarifiwa taratibu zingine za mazishi zitakapopangwa. Tumuombee apumzike kwa amani.

Pd. Vincent Mpwaji
Chancellor.

Marehemu Alikuwa Mkurugenzi wa Tumaini Media

Hivi huyu hajawahi kuhudumia Kanisa Katoliki Mikocheni kweli miaka ya 2008/9?..Mt.Martha...kama kumbukumbu iko sawa..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kama mzaha hivi, ila kwa kweli yaani nikumbuka majigambo , kibri ,matusi, ubabe na ujuaji mwingi wa Magufuli , alivyotokomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Yani yale ndo maisha halisi wala hakumuiga mtu.

Nani natamani kufata nyendo zake, kwani kufa ni lazima kwa kila kiumbe.

Kuna wengine kama wewe unaweza kufa hata maiti yako isipatikane kifo cha kishenzi kabisa.
 
Ukisema amefariki kuna shida gani mzehe? Unazunguuka koote huko unaacha neno fupi tu"amefariki" haya bwana.
 
Nakumbuka alipongezwa na JPM kwa kutokuvaa barakoa.Amelipa ujinga aliotumikia.Amevuna alichopanda.
Ak58JY.jpg
AMSAba.jpg
 
Yani yale ndo maisha halisi wala hakumuiga mtu.

Nani natamani kufata nyendo zake, kwani kufa ni lazima kwa kila kiumbe.

Kuna wengine kama wewe unaweza kufa hata maiti yako isipatikane kifo cha kishenzi kabisa.
Pole mjane kunywa maji roho itulie, hakuna namna yoyote ile naweza kukusadia.
kwa kweli ametokomea na mavi yake, ni ajabu na kweli.
 
Pole mjane kunywa maji roho itulie, hakuna namna yoyote ile naweza kukusadia.
kwa kweli ametokomea na mavi yake, ni ajabu na kweli.
Jipange utakufa kifo kibaya sana hata kuiosha maiti yako itakuwa ngumu, utaenda na janaba lako.
 
Kumbe timu misifa…[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amevuna alichopanda[emoji1][emoji1][emoji1]
Kiongozi bora ni yule anaye watangulia kondoo kwa mbele kama magufuli hata kama akifa siyo huyo mama mwoga anayejali maisha yake zaidi kuliko taifa sisi tumeamua kumuenzi magufuli kwa kutokuchanjwa hata kama tutakufa hadi itakapo patikana chanjo ya akika ya covidi
 
Back
Top Bottom