Ndahani
Platinum Member
- Jun 3, 2008
- 18,160
- 9,151
Na sisi wote pia tutakufa. Ni suala la muda tuWaliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na sisi wote pia tutakufa. Ni suala la muda tuWaliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Mhashamu Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 18/08/2021 saa 10.30 jioni hii mpendwa wetu PADRE PAUL HAULE ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele.
Akiwa katika matibabu ktika Hospitali ya Kardinali Rugambwa Ukonga.
Tutataarifiwa taratibu zingine za mazishi zitakapopangwa. Tumuombee apumzike kwa amani.
Pd. Vincent Mpwaji
Chancellor.
Marehemu Alikuwa Mkurugenzi wa Tumaini Media
Ujinga wa Mama upi huo?Huu ni ujinga wa mama siyo magufuli
Chanjo haina matatizo kihivyo mkuu, ni vile chanjo zenyewe hamna, na uwezo wa wakuzinunua haupo. Kelele tu zimekua nyingi.Kiongozi bora ni yule anaye watangulia kondoo kwa mbele kama magufuli hata kama akifa siyo huyo mama mwoga anayejali maisha yake zaidi kuliko taifa sisi tumeamua kumuenzi magufuli kwa kutokuchanjwa hata kama tutakufa hadi itakapo patikana chanjo ya akika ya covidi
Jaji mzima akageuka kitukoo[emoji1787][emoji1787][emoji1787].na wapambe wa mwenye heri jiwe wakashangiliaaaHii imenifanya nikaangalie video yake ya mwisho pale st peters. Magufuli alivyomsema jaji Mihayo kisa kavaa mask. Na siku ina masaa 48.Ila Mungu jamani acha tu.
Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Acha masihara mpaka kuna wadosi kadhaa waliokuwa wamechanjwa wamevutwa kwa korona ila hutaambiwa. Ni matajiri wakubwa. Magufuli hapaswi kubezwa.Nadhanu huyu mzee aliwadanganyishia na kile kijuisi cha Madagascar
WEWE UTAISHI MILELE!!Waliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Wee Ngese utabaki milele bwege makalio weweWaliopiga picha na Magufuli wote watakufa. R.I.P padre Haule.
Siwezi kumbeza mtu aliyededi kwa uzembe wake mwenyewe. Mzee alizoea kuropokea wabongo akadhani na kirusi pia kinaropokewa... kikamtendea miujiza fasta...Acha masihara mpaka kuna wadosi kadhaa waliokuwa wamechanjwa wamevutwa kwa korona ila hutaambiwa. Ni matajiri wakubwa. Magufuli hapaswi kubezwa.