TANZIA Padre Paul Haule ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele

Ohooooo mgodi wa St. Peter's umeanza kutema
 
Raha ya milele umpee ee bwana

Na mwanga wa milele umwangazie

Apumzike kwa amani. Amina
 
Kama mzaha hivi, ila kwa kweli yaani nikumbuka majigambo , kibri ,matusi, ubabe na ujuaji mwingi wa Magufuli , alivyotokomeaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii imenifanya nikaangalie video yake ya mwisho pale st peters. Magufuli alivyomsema jaji Mihayo kisa kavaa mask. Na siku ina masaa 48.Ila Mungu jamani acha tu.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ kaambukiza wengi sana kwa ubishi wake wa kutovaa matambara AKA masks.
Ilibidi leo nikaangalie video yake ya mwisho pale st Peters. Ni full kuponda barakoa.Yaani hawa mawaziri sijui hata kwa nini wanataka kumkamata Gwajima. Wakati anayoyaongea Gwajima ndo aliyoyasema Magufuli waliyekuwa wanamuunga mkono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…