TANZIA Padre Paul Haule ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele

Malaika mchukua roho kapiga kambi kwa wazee wetu...

😡😡
 
Hili Kanisa lake hili !!!
 
Ilibidi leo nikaangalie video yake ya mwisho pale st Peters. Ni full kuponda barakoa.Yaani hawa mawaziri sijui hata kwa nini wanataka kumkamata Gwajima. Wakati anayoyaongea Gwajima ndo aliyoyasema Magufuli waliyekuwa wanamuunga mkono.
 
Tukisema inalahi waina ilayhi raji'un !
Nako tunazunguka kusema amefariki

Innalillah wainna illayhi rajiuun ni mapokeo ya taarifa ya msiba maana Allah ndio ametuamrisha tuseme hivyo. Taarifa kwanza mapokeo yanafuata. Sasa mtu kafa story kibaaao sijui kaitwa...kuitwa maana yake anaweza kurudi akitaka
 
Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umuangazie apumzike kwa amani Amina
 
Hii alikuwa Dodoma akakimbia baada ya kuambiwa hali ni mbaya Dom. Ndiyo wakati ule Mpango kalazwa na kulikuwa na Tetesi kafariki. Kijazi ndiyo alikuwa amefariki tu siku chache zilizopita. Akakimbilia Moro akazuga zuga pale kuulizia Dom akaambiwa hali bado si shwari ndiyo akazuka Dar alipotoa kauli kwa yule njemba aache mavi yake nyumbani
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 COVID-19 haikupenda majibu ya hovyo hovyo ikaamua kumbamiza BAAM!

Baada ya hapa Coronavirus ikamtembelea. Aliifuata mwenyewe Dar es salaam,baada ya kujificha Chato kwa muda mrefu.
 
Kama mzaha hivi, ila kwa kweli yaani nikumbuka majigambo , kibri ,matusi, ubabe na ujuaji mwingi wa Magufuli , alivyotokomea[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe utakufa na Umaskini wako juu..wenzako wamekufa ,familia zao zinaishi kwa raha..wewe utawaachia nini nduguzo??
 
Wekeni picha ya rangi.

Pumzika Mtumishi wa Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…