Padre Titus Amigu anasema muda huu kupitia Radio Maria kuwa viongozi wakuu wa nchi wanajua wauaji ni akina nani

Lakini kumbuka pia wapo Mapadre wa RC ni wanateka na kuua, kama yule Padre aliyeshiriki kumteka Albino na kumua mtoto mdogo asiyekuwa na ubaya wowote. Hivyo usigeneralize tu.
Una ushahidi kama alishiriki? Maana kesi haijaisha ukasaidie ushahidi.
 
Fala mwenyewe kafiri wewe.

Nani hajui kuwa makafiri mmejaa chuki zisizo na kifani kwa waislam na uislam??

Sasa KWA taarifa yenu,huyu mama hamumfanyi chochote kile,hizo mimba zenu za chukii safari hii mtaenda labor mtake msitake.
Wewe kweli bonge la BUMUNDA,😃😃
 
Tatizo sio kufuatilia,
Tatizo ni wao ndo watekaji, watesaji na wauaji!
 
Jeshi letu halina matatizo kabisa na ufuatiliaji. Ukitaka kujua halina matatizo hayo jaribu kuchoma picha ya Rais.
 
Sikiliza Radio Maria muda huu Padre Titus Amigu anaponda viongozi wetu kwa kutowajibika ipasavyo katika kuwalinda wananchi. Anasema viongozi wetu wanawafahamu watekaji na wauaji hao.

Viongozi wa juu wanajua wauaji wa Meddy Kibao.
 
Safi sana padre. Viongozi wengine wa dini waige mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…