Padri Dkt. Kitima: Sikujua sababu ya kuitwa Ikulu, msimamo wetu ni ule ule, hatukubaliani na IGA

Ni mambo ya hovyo sn
 
Kwahiyo waumini waliswalishwa na katekista?
 
Wagalatia hasa kutoka katoliki huwa wanajiaminisha kuwa kanisa ndio lina run hii nchi, sasa wanaumbuliwa waziwazi
Ninyi vichwa maji mkiongozwa na viongozi wenu ndiyo mlikuwa mnaaminishwa hivyo,mimi Mkatoliki huwa siuamini huo ujinga.

Refer hotuba za Ilunga&co na wengi mliwaamini ukiwepo wewe,wamewakusanya sana watu kama nyie ni vile huwa mnabadilika kutokana na mazingira yalivyo.
 
Kwani yeye ni nani kujua siri za nchi kushinda wa Tanzania 60m......hizo phd za theology zina wanadanganya wanata kuji pima umbavu wao na "State"
Ndo mnapokosea. badala ya kujibu hoja mnashambulia personalities za watu
 
Dada usijifanye chizi, wagalatia siku zote wanajiaminisha wao ndio wana mamlaka juu ya hii nchi
 
Duu! wadau wangu hawa bhana, sisi watu wa kawaida tunaamini kuwa TEC na serikali ni sura mbili za sarafu moja, na siku zote mahusiano baina yao ni siri, yaani mambo yakienda vizuri sisi hatupaswi kujua ila yakienda 'kombo' utaanza kusikia yowe,...ah haya!
 
Dah! walitaka tuamini kwamba TEC wameridhia, umeshawekeza matrilioni kwenye bandari na SGR kuendesha tu ushindwe? endeleeni kukaza mafuvu.
 
Nchi ina kiongozi dhaifu sana kuwahi kutokea, mpaka anaondoka ikulu atakuwa amesababisha madhara makubwa sana
 
Kwani yeye ni nani kujua siri za nchi kushinda wa Tanzania 60m......hizo phd za theology zina wanadanganya wanata kuji pima umbavu wao na "State"
Hao siyo wenzio,hao wanafahamu kila kitu cha nchi hii na Duniani na vilevile hadi ratiba ya kuoga na kula ya Rais wenu.
Fear Vatican my friend!

Sent from my V2111 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…