Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upuuzi mkubwa sana. Samia ananifurahisha kwenye suala hili la DPW, kaamua kukaa kimya kabisa yeye ni vitendo tu. Ushauri anaupokea kutoka kwa wanasheria aliowapa kazi ya kushughulikia hilo suala mpaka limalizike.Wakaanzishe serikali Yao huko vatikan. Watuachie nchi yetu ya aman.
Wapuuzi wakubwa nyie, ubovu wa IGA ni upi haswa?. Mliweza kuiona IGA baada ya kuvuja msitegemee kuja kuuona mkataba wa biashara kati ya Dubai na Tanzania. Kwanza ni kosa kisheria kuonyesha vipengele vya mkataba wa kibiashara, kinachoandikwa mle ni siri ya pande mbili. Pili serikali haiwezi kuingia gharama kubwa ya utetezi dhidi ya wote watakaoishambulia mitandaoni wakiongelea mikataba tena ambayo uelewa mpana wa watakaohoji ni mdogo sana.Huwezi kuwa na IGA mbovu kisha ukasema una mkataba mzuri uliotokana na hiyo IGA mbovu, hiyo ni sawa na kujenga nyumba juu ya msingi mbovu halafu uwadanganye wajinga una nyumba imara nao wakakushangilia, hao wote waliosaini ule mkataba wa IGA na uliofuatia ni wajinga na waongo.
Kutuambia kwa maneno matupu mkataba waliosaini uko hivi na vile, badala ya kuuweka hadharani wote tuuone, ni sawa na kutuona sisi ni watoto wadogo tusiojua kusoma na kuandika, hii ni dharau, na huu nao ni ujinga wao mwingine.
Matapeli wameungana wakaenda kutengeneza kamkataba fulani cha kihuni, ili kaje kujibu yale maswali waliyoshindwa kuyajibu kuhusu ile IGA, IGA iliyozungukwa na rushwa na kila aina ya ushetani, ajabu leo wanataka kuubariki ule ushetani wao kwa kutudanganya DPW atakuwepo miaka 30, na ni kwa bandari ya DSM pekee, wakati mama wa huo mkataba anasema mwarabu atakuwepo bila kikomo.
RC wasijikute hii nchi wanaweza kuikwamisha watakavyo. Wajifunze kwa BakwataKatibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA) iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma siku chache zilizopita haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari kwani kulikuwa na mazingira ambayo yeye kama yeye asingeweza kujua nini hasa ameitiwa na asingeweza kuweka masharti kwa Rais baada ya kupewa mwaliko ambayo yeye (Kitima) hakuwa anajua lengo lake.
Kitima ameyasema hayo baada JAMBO TV kutaka kupata ufafanuzi wa kile ambacho kilitokea Ikulu Dodoma ambapo kwenye hafla ya kusaini mkataba wa HGA kauli mbalimbali zilisikika zikisema hata wale ambao mwanzoni waliukosoa Mkataba ule (IGA) nao wamehudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa (HGA) kitendo ambacho kiliashiria kubadili kwao msimamo kuhusu waliyokuwa wanaeleza kama mapungufu ya Mkataba wa makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai wa uendeshaji wa Bandari za Tanzania
" Hatujaona mabadiliko kimaandishi, Tunasimama na Tamko la Maaskofu, tukiona kimaandishi mabadiliko yaliyofanywa kwenye IGA ndipo tutaonana kama mapungufu yamefanyiwa kazi" amesema
Dkt. Kitima amesisitiza kwamba bado msimamo wa Kanisa Katoliki Tanzania ni kwamba IGA inayo mapungufu hivyo hawajabadili msimamo.
Jambo TV
Hapa sasa ndiyo padri kongeaHilo ndilo tulitaka kulisikia Toka kwako.🙏
Mungu atatuvushaOfisi kubwa no 1 kama inaweza kufanya mambo ya hovyo kama hayo ofisi zingine hali ikoje?
Kama mwaliko ulitolewa kwa maandishi yaliyoonyeshwa hapa, ni dhahiri kuwa hii ni serikali ya kitapeli, inayoendeshwa na viongozi matapeli.
Hizi nyadhifa za "Amiri Jeshi Mkuu" zinazotumiwa na matapeli kufanya uhalifu ifikie mahali wanao tumiwa vibaya na matapeli hawa inawapasa pia kukataa upumbavu huu wa matumizi mabaya ya kazi zao za ulinzi wa nchi hii.
Nadhani pia una " walakini" na mabadiliko ya HJA na IGA tuloaminishwa siku Ile kuwa yamefanyika.Kama mwaliko ulitolewa kwa maandishi yaliyoonyeshwa hapa, ni dhahiri kuwa hii ni serikali ya kitapeli, inayoendeshwa na viongozi matapeli.
Hizi nyadhifa za "Amiri Jeshi Mkuu" zinazotumiwa na matapeli kufanya uhalifu ifikie mahali wanao tumiwa vibaya na matapeli hawa inawapasa pia kukataa upumbavu huu wa matumizi mabaya ya kazi zao za ulinzi wa nchi hii.
Mwambie akae mbali, usaliti ni usaliti tuKatibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA) iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma siku chache zilizopita haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari kwani kulikuwa na mazingira ambayo yeye kama yeye asingeweza kujua nini hasa ameitiwa na asingeweza kuweka masharti kwa Rais baada ya kupewa mwaliko ambayo yeye (Kitima) hakuwa anajua lengo lake.
Kitima ameyasema hayo baada JAMBO TV kutaka kupata ufafanuzi wa kile ambacho kilitokea Ikulu Dodoma ambapo kwenye hafla ya kusaini mkataba wa HGA kauli mbalimbali zilisikika zikisema hata wale ambao mwanzoni waliukosoa Mkataba ule (IGA) nao wamehudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa (HGA) kitendo ambacho kiliashiria kubadili kwao msimamo kuhusu waliyokuwa wanaeleza kama mapungufu ya Mkataba wa makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai wa uendeshaji wa Bandari za Tanzania
" Hatujaona mabadiliko kimaandishi, Tunasimama na Tamko la Maaskofu, tukiona kimaandishi mabadiliko yaliyofanywa kwenye IGA ndipo tutaonana kama mapungufu yamefanyiwa kazi" amesema
Dkt. Kitima amesisitiza kwamba bado msimamo wa Kanisa Katoliki Tanzania ni kwamba IGA inayo mapungufu hivyo hawajabadili msimamo.
Jambo TV
Kitendo cha Mrisho Mpoto kusimama na kughani kwamba walioupinga wameukubali maana yake ameamua kutumika kama propaganda mashine kuhadaa hadhira.Katibu Mkuu wa Baraza La Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) Dkt.Charles Kitima amesema kuhudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa Host Government Agreement (HGA) iliyofanyika Ikulu ya Chamwino Jijini Dodoma siku chache zilizopita haimaanishi kwamba wamekubaliana na mkataba wa Bandari kwani kulikuwa na mazingira ambayo yeye kama yeye asingeweza kujua nini hasa ameitiwa na asingeweza kuweka masharti kwa Rais baada ya kupewa mwaliko ambayo yeye (Kitima) hakuwa anajua lengo lake.
Kitima ameyasema hayo baada JAMBO TV kutaka kupata ufafanuzi wa kile ambacho kilitokea Ikulu Dodoma ambapo kwenye hafla ya kusaini mkataba wa HGA kauli mbalimbali zilisikika zikisema hata wale ambao mwanzoni waliukosoa Mkataba ule (IGA) nao wamehudhuria halfa ya utiaji saini Mkataba wa (HGA) kitendo ambacho kiliashiria kubadili kwao msimamo kuhusu waliyokuwa wanaeleza kama mapungufu ya Mkataba wa makubaliano kati ya serikali ya Tanzania na Dubai wa uendeshaji wa Bandari za Tanzania
" Hatujaona mabadiliko kimaandishi, Tunasimama na Tamko la Maaskofu, tukiona kimaandishi mabadiliko yaliyofanywa kwenye IGA ndipo tutaonana kama mapungufu yamefanyiwa kazi" amesema
Dkt. Kitima amesisitiza kwamba bado msimamo wa Kanisa Katoliki Tanzania ni kwamba IGA inayo mapungufu hivyo hawajabadili msimamo.
Jambo TV
Huna uzoefu na mialiko mikubwa aiseeKama mwaliko ulitolewa kwa maandishi yaliyoonyeshwa hapa, ni dhahiri kuwa hii ni serikali ya kitapeli, inayoendeshwa na viongozi matapeli.
Hizi nyadhifa za "Amiri Jeshi Mkuu" zinazotumiwa na matapeli kufanya uhalifu ifikie mahali wanao tumiwa vibaya na matapeli hawa inawapasa pia kukataa upumbavu huu wa matumizi mabaya ya kazi zao za ulinzi wa nchi hii.
Acha propaganda,Huna uzoefu na mialiko mikubwa aisee
Fr angeondoka tu alipogundua ni dpw
hakua frontAcha propaganda,
Ujae front mbele, na uondoke b4 Rais hajamaondoka!!
Yaani tuache kuamini kiongozi wa Dini, tuiamini Serikali ya CCM!!hakua front
Na kama alidanganywa?
Alijua kinachoendelea
Hiyo mialiko yenu "mikubwa" ndiko wanakoruhusiwa kuwa wadanganyifu, matapeli?Huna uzoefu na mialiko mikubwa aisee
Fr angeondoka tu alipogundua ni dpw
Wapi nimesema uamini serikali 😂😂😂Yaani tuache kuamini kiongozi wa Dini, tuiamini Serikali ya CCM!!
Lini walisema Kweli CCCm?