Bila hata kuonyesha au kueleza ni mabadiliko gani yamefanyika.Nadhani pia una " walakini" na mabadiliko ya HJA na IGA tuloaminishwa siku Ile kuwa yamefanyika.
Nilisema tokea mwanzo, mwanamke huyu ni hatari zaidi kuliko hata kiongozi aliyekuwa akipiga kelele nyingi za vitisho, na hata kuumiza wapinzani wake.
Huyu Samia anaumiza taifa zima, huku akitabasamu na kuonyesha uso wa furaha.