Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

kanisa katoliki limejipenyeza sana.

kuna article moja niliwahi kuisoma kwenye mtandao wa quora. ilieleza kinagaubaga nguvu ya kanisa katoliki katika medeni za ujasusi.

muandishi aliandika, CIA na teknolojia zao zote, kuna baadhi ya information wakikwama kuzipata, huwa wanalitumia kanisa katoliki kuwafanyia information gathering.

hili dhehebu ni zaidi ya vile watu wanavyolichukulia. i'm proud to be a roman catholic.
 
Mbona linajulikana sifa zake kiroho, linaitwa mama wa ........, lina nguvu za kisiasa, lina tume inaitwa amani na majeshi. Kanisa hili halichukiliwi poa, ni zaidi ya kanisa.
 
Ndo utaona na kujua namna ambavyo viongozi wa dini wanavyowachora waumini wao kwa uzezeta wao huku umaskini ukiendelea kuwatafuna. Dini kwa sehemu kubwa ndio imekuwa chanzo cha matatizo makubwa tuliyonayo.
 
kama kuna watu wanaweza kufikiri vizuri basi wataelewa nani ni mmiliki wa CCM...

kuna vitabu ukifunuliwa leo hii ukavisoma kesho utaacha kwenda kuabudu kanisani...
 
Hakunaga Padre kilaza usiwaone vile, shule ndiyo imemfikisha hapo.
 
Pongezi zake sana na familia yake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…