Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na nimetoa mfano wa walikuwa kumaanisha sio wa kwanza. Notice that.Notice nimeandika 'at the same time' na siyo 'walikuwa'
Yap.. makao makuu yao yapo lang'ata nairobi na pia kwa bongo shule yao ni Uru Seminary kilimanjaroOoh.. Ndo maana kuna AJ kule mwishoni.
Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.Na nimetoa mfano wa walikuwa kumaanisha sio wa kwanza. Notice that.
Unajua kazi yake jeshini.. vitaniHa ha ha ha,msishangae Mambo haya,utulivu na amani yetu,vinachagizwa na Mambo km hayo so usihamaki Sana,kila mahala panahitaji ulinzi na usalama, so akili ndio msingi wa ulinzi
Mnapenda kumezeshwa ya uongo..Tena ni 'double agent'...@Evarist Chahali tusaidie cheo.
🤣🤣🤣🙌[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda story sana.. Kuna mtu huku.. Nahisi alisikia mahali wanasema Pope Francis ni Jesuit Father [emoji23] anaambiwa watu hata papa ni jasusi
***** huwa ni wanoko sana na hawana huruma, nimesoma shule ya dini kuna mpuuzi alikuwa anatuzingua sana bila hurumaInawezekana tena hawa hutumiwa vizuri kabisa na serikali kwenye mambo ya unaa kwakuwa hawana family
Oooh.. Maybe sikusema kinaga ubaga. Ila kuna mapadre wengi sana Wakatoliki walikuwa wanajeshi na mapadre at the same time.Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.
Anyway, bado ninajiuliza juu ya moral conflict.
Ndio wapo, kuna mmoja siwezi mtaja wa shirika hilohilo la AJ= apostles of jesus alishakuwa askari polisi kwa muda the akaacha akaingia shirikani na kupokelewa.Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.
Anyway, bado ninajiuliza juu ya moral conflict.
Yani stori hizo ukipita buguruni vibarazani nyingi sana🤣🤣🤣🙌
[emoji23][emoji23][emoji23]***** huwa ni wanoko sana na hawana huruma, nimesoma shule ya dini kuna mpuuzi alikuwa anatuzingua sana bila huruma
Fikiria anakupa adhabu ya kukaa nje tena usiku alafu anakuja kukuchungulia kila mara kama bado upo palepale
Kuna watu akili zao sjui za kushikiwa.Yani stori ukipita buguruni vibarazani nyingi sana
Takbiiir tuvumiliane tuPadri Henry Rimisho wa kanisa katoliki, jimbo la Moshi leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture) ya chuo kikuu cha Ardhi. Padri Rimisho ana shahada ya sayansi katika usanifu majengo (Bachelor of Architecture) na Shahada ya umahiri katika usanifu majengo (Master of Architecture) zote kutoka chuo kikuu cha Ardhi.
Baada ya miaka minne ya kusoma kwa bidii, kufanya tafiti na kuandika maandiko mengi ya kutaalamu, hatimaye leo ametunukiwa shahada ya uzamivu katika usanifu majengo (PhD in Architecture). Padri Rimisho ni Professional Architect aliyesajiliwa na Board ya Wasanifu Majengo na wakadiriaji majenzi (AQRB). Amesanifu majengo mengi ndani na nje ya nchi, pamoja na majengo ya jeshi. Pia ni Mhadhiri wa chuo kikuu cha Ardhi.
Kwa upande mwingine Padri Rimisho ni Askari wa jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) mwenye cheo cha Meja (cheo kinachofuata baada ya Kepteni). Pia ni Komandoo wa JWTZ (Millitary Ordinariate) na ameshiriki operesheni kadhaa za kijeshi nje ya nchi, ikiwemo operesheni ya kulinda amani ya Darfur.
Padri Rimisho ni Mmisionari wa shirika la Apostles of Jesus, ambaye ana shahada ya kwanza ya Falsafa (Bacholer degree in Philosophy) na Shahada ya Utaalimungu (Bachelor degree in Theology) kabla ya kubarikiwa kuwa Padri.
Kwahiyo Rimisho ni Padri, ni Meja wa JWTZ, ni Komandoo katika uwanja wa vita, na ni Msanifu mwenye shahada ya uzamivu (PhD) katika usanifu majengo. Kwa hiyo unaweza kumuita Rev.Fr.Dr.Major Henry Rumisho (PhD).
Kama uliwahi kusikia neno "Genius" basi tafsiri halisi ya neno hilo ni Padri Rimisho. Uwe Padri, uwe mwanajeshi, uwe Komandoo, uwe Msanifu majengo, uwe PhD holder, vyote kwa wakati mmoja sio kitu rahisi kabisa. Huu ni utumishi wa aina yake na ni watu wachache walioweza kuexplore karama zao zote kama Padri Rimisho. Hongera Rev.Fr.Dr.Major Henry Rumisho (PhD), Hongera kanisa katoliki, Hongera JWTZ.!
Malisa GJ
View attachment 2033162
[emoji23][emoji23][emoji23]. Ukomandoo ndo umeshtua watuMbona watu wanashangaa sana??
Wamesahau Askofu, Jaji, brg gen, Augustino Ramadhani tena yeye alikuwa Askofu mkuu wa Anglican
AGUSTINO hakuwahi kuwa AskofuMbona watu wanashangaa sana??
Wamesahau Askofu, Jaji, brg gen, Augustino Ramadhani tena yeye alikuwa Askofu mkuu wa Anglican