Padri Henry Rimisho wa Kanisa Katoliki atunukiwaa PhD ya Architecture

Tena ni 'double agent'...@Evarist Chahali tusaidie cheo.
 
Na nimetoa mfano wa walikuwa kumaanisha sio wa kwanza. Notice that.
Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.

Anyway, bado ninajiuliza juu ya moral conflict.
 
Ha ha ha ha,msishangae Mambo haya,utulivu na amani yetu,vinachagizwa na Mambo km hayo so usihamaki Sana,kila mahala panahitaji ulinzi na usalama, so akili ndio msingi wa ulinzi
Unajua kazi yake jeshini.. vitani
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Wanapenda story sana.. Kuna mtu huku.. Nahisi alisikia mahali wanasema Pope Francis ni Jesuit Father [emoji23] anaambiwa watu hata papa ni jasusi
🤣🤣🤣🙌
 
Inawezekana tena hawa hutumiwa vizuri kabisa na serikali kwenye mambo ya unaa kwakuwa hawana family
***** huwa ni wanoko sana na hawana huruma, nimesoma shule ya dini kuna mpuuzi alikuwa anatuzingua sana bila huruma

Fikiria anakupa adhabu ya kukaa nje tena usiku alafu anakuja kukuchungulia kila mara kama bado upo palepale
 
Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.

Anyway, bado ninajiuliza juu ya moral conflict.
Oooh.. Maybe sikusema kinaga ubaga. Ila kuna mapadre wengi sana Wakatoliki walikuwa wanajeshi na mapadre at the same time.

Ila kwenye moral conflict Sidhani kama ipo kubwa [emoji23]
Wanakwambia Mungu mwenyewe ni Bwana Mungu wa Majeshi.
 
Dah lugha yetu hii. Nikafikiri umemaanisha walikua maaskari kisha wakawa mapadri.

Anyway, bado ninajiuliza juu ya moral conflict.
Ndio wapo, kuna mmoja siwezi mtaja wa shirika hilohilo la AJ= apostles of jesus alishakuwa askari polisi kwa muda the akaacha akaingia shirikani na kupokelewa.
Na sasa ni padri
 
***** huwa ni wanoko sana na hawana huruma, nimesoma shule ya dini kuna mpuuzi alikuwa anatuzingua sana bila huruma

Fikiria anakupa adhabu ya kukaa nje tena usiku alafu anakuja kukuchungulia kila mara kama bado upo palepale
[emoji23][emoji23][emoji23]

Na kama ambavyo recruits wanapataga taabu jeshini, watu wanaotaka kuwa mapadre huwa wanapitia nyakati ngumu sana kwenye seminary za maandalio
 
Takbiiir tuvumiliane tu
 
Mbona watu wanashangaa sana??

Wamesahau Askofu, Jaji, brg gen, Augustino Ramadhani tena yeye alikuwa Askofu mkuu wa Anglican
AGUSTINO hakuwahi kuwa Askofu
Soma kipande kifupi kutoka wikipedia

Mchungaji wa Kanisa Anglikana ZanzibarEdit

Mwaka 2013 alikubali ombi la askofu wa Dayosisi ya Zanzibar akaingia katika utumishi wa Kanisa Anglikana kwenye ngazi ya ushemasi kwa nusu mwaka halafu alitawazwa kuwa kasisi katika ibada iliyofanyika mjini Zanzibar, Unguja tarehe 28 Desemba 2013.

Wakati ule alifundisha pia sheria katika Chuo Kikuu cha Iringa (UoI). Mpaka mauti ilipomkuta, Jaji Ramadhani alikuwa ni Mkuu wa chuo hicho.

Mnamo tarehe 7 Desemba 2019, katika mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Iringa (UoI), ambapo mgeni Rasmi alikuwa ni Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Benjamin W. Mkapa, Jaji Ramadhani alitunukiwa Shahada ya Juu ya Heshima ya Sheria (Honoris Causa Juris).
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…