Padri Kitima: Ali Kibao amekamatwa kwenye halaiki mchana, wanasema tunyamaze? Uovu lazima tuukemee!

Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Acha lugha chafu toa hoja!
 
Ile kesi ya mauaji itaanza upya kuunguruma, usione mtu anaunga mkono ujue kuna namna kashikwa pabaya
Ya wale watu waliokanyagana pale moshi kwenye kukanyaga mafuta
Mwamposa akikemea tu maovu ya serikali hiyo kesi inarudi upya na kufungwa anafungwa.
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Walimbishia Magufuli mkatoliki mwenzao wakati wa corona. Hawampingi kwa kuwa ni muislam, nakataa. Muislam akikosea anyamaziwe tu kwa sababu ya dini yake ? Unawatukana mbwa ? Hauko sawa. Ally Kibao ni muislam pia na ameacha Yatima na mjane au wajane. Hoja haijajibiwa. Amesema wapelekwe mahakamani kama wamekosea. Haki ya kuishi ni ya kila mtu. Lissu anapowatetea Wapalestina mbona humshambulii ?
 
hizo waraka ni USELESS labda wazipeleke kwa MUNGU kwa kutumia sala, lakini hakuna lolote kwa serikali, na chaajabu na waumini wao ndyo wenye kura nyingi za CCM, kuliko dhehebu lolole, hii phenomenon inaitwa abracadabra
 
Mzee baba una hekaheka kichizi, ila kwa kuwa ni kazi uliyoichagua inabidi uifanye tu
 
Ukweli utakuweka huru baba Askofu - ujumbe ushamfikia.
 
Mzee baba una hekaheka kichizi, ila kwa kuwa ni kazi uliyoichagua inabidi uifanye tu
Si kama wewe tu mkuu; we unapika majungu mi nayaipua kabla hayajawiva hivyo hatuna utofauti. Sote tunashughulika na majungu......in different ways!
 
Huyo mnyiramba anawashwa, atuambie yeye nani kamwua, km anamjua kwanini hakuenda polisi? Hao wakuda wanataka kuisumbua serikali kwasababu Rais muislam. Mambwa koko hayo hawana lolote wanaweza kufanya wataishia kubweka tu
Mbegu yako Bora Baba yao angemwaga nje kuliko kuleta mtu asiyejitambua. UHAI WA MTU HAUANGALII DINI WALA KABILA. YOU SHOULD BE ASHAMED OF YOURSELF
 
hahjamuuliza swali cctv ziko wapi?
Unamuuliza as if kilichotokea ulikuwa ni ukaguzi wa CCTV? Swali hili halipaswi kuelekezwa kwake. Ni kama wewe ushambuliwe na kujeruhiwa vibaya nyumbani kwako, na majirani wakukimbize hospitali, halafu mtu mwingine akuulize, "kwani wakati unashambuliwa mlizi wako alikuwa wapi?" Is it the right question to the right person?
 
Si kama wewe tu mkuu; we unapika majungu mi nayaipua kabla hayajawiva hivyo hatuna utofauti. Sote tunashughulika na majungu......in different ways!
Uko kazini wewe, wacha sie tutafute ugali wetu
 
Uko kazini wewe, wacha sie tutafute ugali wetu
Ugali huo unatafutwa bila kazi?!!!! Kumbe nawe uko kazini; inawezekana mwenzangu kazi Yako ni rahisi zaidi kuliko mimi. Kuhesabu tone tone zilizokusanywa Kuna ugumu gani?!!!!
 
Mzee anatema cheche ni kama ndio kwanza moto wame umwagia petroli kazi Ipo

🔥🔥🤣
Kunyamaza siyo amani bali ni kusalimu amri kwa majukumu ya kijamii ama kitaifa

Silence surrenders public responsibilities
 
Ugali huo unatafutwa bila kazi?!!!! Kumbe nawe uko kazini; inawezekana mwenzangu kazi Yako ni rahisi zaidi kuliko mimi. Kuhesabu tone tone zilizokusanywa Kuna ugumu gani?!!!!
Nachofurahi hata wewe chawa uko hapa kuchangia uzi na kudumisha jina la mzee ali kibao, kimwili amefariki ila legacy yake inaishi midomoni mwa watu, haya tuendelee kuchangia mada kuuweka uzi hai
 
Mdude KAACHA mtoto mdogo kabisa.
What a pain to such a fatherless innocent child
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…