Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Huwezi kujifanyia mambo tu kwenye nchi sheria za usajill wa jumuiya inasemaje? Kuhusu mipaka ya taasisi za dini?
Kuna mipaka ya HAKI. Dini haizungumzii HAKI?
Kwa nini watu hata wanaoonekana kuwa na upeo wa kutosha kuelewa mambo, halafu mara tu kukizungumziwa HAKI inaonekana kama ni shetani fulani?

Kwanini kuzungumzia HAKI iwe dhambi; tueleze wewe; kwa sababu hata akina Tundu Lissu pamoja na kutokuwa watu wa dini, na wao neno hilo ni dhambi kabisa kuligusia.

Kama HAKI ni dhambi kuzungumziwa na watu wa dini, kwa nini AMANI isiwe na sifa hiyo hiyo ya kuwazuia watu wa dini kutoichanganya katika maswala yao?

Sasa tueleze wewe. Umesema serikali inazo sheria. Sasa haya yanayodaiwa kufanywa ndiko kuhakikisha sheria zinafanya kazi?
 
Haki isipotendeka lazima wakemee, naona unamihemko imekujaa hadi kichwani
Huyo mtu huwa nyakati zingine huwa simuelewi kabisa. Kuna nyakati anakuwa na akili nzuri tu. Sijui anayo matatizo gani huyo mtu.
Na hili siyo swala tu la kutokubaliana hoja. Hata hoja anayo itetea haieleweki kabisa!
 
Kwaiyo unataka kusema kuwa hata kipindi ambacho serikali inafanya mazuri na kusifiwa mbele ya waumini ni kwamba waumini huchaguliwa upande?
 
Kiongozi wa dini ana tetea umma kama haki haitendeki, lazima ahubiri matendo mema na kukemea uonevu, rushwa nk
 
Kwa
Wakifanya mazuri wakasifiwa wanapigiwa makofi....Wakifanya mabaya wakakemewa wanageuka kuwa waasi.

Inchi ya kipumbavu sana hii. CCM soon itaanguka.
Kwa jina la Yesu Amen. Hawajiamini ndio maana wanaogopaa
 

Kuna mambo tunayajua na Kuna mambo hatuyajui, ccm hawataki kutoka madarakani na chadema wanatak kuingia madarakini, kwa hyo kila mtu anawez fanya drama zake apate hitaji lake
 
Watanzania ni kama maiti zinazotembea, hawawezi kuamka! ni watu wachache tu humu mitandaoni ndio tunaona nchi imenajisiwa! Ila ukitaka kuwafufua watanzania toka ktk umauti waliolala, gusa simba na yanga...hapo utashambuliwa na utashangaa kuona ujasiri usio wa kawaida toka ktk makundi yote na jinsia zote
 
Dini inasema haki huinua Taifaa, ndio mambo tunayohubiriwa na rushwa nk, so ni lazima watumish wa Mungu kukemea km kuna mambo yanaenda kinyume kama wanavyoshirikishwa kuombea nchi
 
CCM CCM CCM.
Wewe kama unadhani unaelewa mambo washauri viongozi wa CCM waache kuteka na kuua wakosoaji.
Yeyote aliyehusika lazima atakuwa na baraka za CCM.
LABDA KAMA UNA IQ NDOGO.
Ngoja nikwambie jambo, kama unayo akili ya kutosha utaelewa vizuri.
Sasa hivi mnatumia kivuli cha CCM kuwatendea dhuluma waTanzania.

Haya siyo matendo ya CCM, na unajuwa wazi kabisa kwamba sina sababu yoyote ya kuwatetea CCM, ila sasa ni wazi CCM inatumiwa, imevamiwa na genge hatari sana linalopigana juu chini kuhakikisha Samia (unayemhusudu sana hadi jina likawa lako), sasa unataka sote tuamini tu kama vipofu, kwamba haya yanayofanyika ni kazi ya CCM.
 
Watanzania hai ni mimi na wewe mpendwa, wengine kama hawajielewi
 

Muulize huyo mwenzako ‘Archbishop of Canterbury’ alipojifanya anatoa ushauri wa maswala ya sheria UK.

Bunge, Serikali na media walivyomshughulikia siasa za sheria nje ya church morals zinamuhusu nini.

Mwenyewe aliomba mshamaha.
 
Sio Bure umetumwaaaaaaaaaa,
 
Kwaiyo unataka kusema kuwa hata kipindi ambacho serikali inafanya mazuri na kusifiwa mbele ya waumini ni kwamba waumini huchaguliwa upande?
Aitakiwi

Kwakuwa kuna sheria na taratibu za ulinzi watu wanaangalia wapi watumie mamlaka yao kwa maslahi yao.

That’s politics
 
Na yeye walikwenda kumbamiza nyumbani kwake? Hivi wewe mbona hueleweki?
Unaleta hapa jambo tofauti kabisa ili iweje?
Lete hiyo mada hapa siku nyingine, tutaijadili.
Lakini kama unao mfano wa haya yanayofanyika hapa leo hii yakitokea huko UK, basi yaweke tuyajadili. Usitafute kuhamisha yanayojadiliwa hapa sasa hivi chini ya mada hii.
 
Sijui kwanini watu wanajustify brutality.
 
Kiongozi wa dini ana tetea umma kama haki haitendeki, lazima ahubiri matendo mema na kukemea uonevu, rushwa nk
Umma na kupuliza uonekane neutral.

Wewe ukemei religious morals, kamali, mmomonyoko wa maadili, kukithiri kwa madawa ya kulevya, abortion etc to do catholic dogma.

Ila unakerwa na CDM tu.

Mtu wa dini au mwanasiasa.

Mbaya zaidi upo closely associated na prominent figure ambao ni anti government, hilo tu linakuondolea neutrality of opinion, unaupande.

Iwapo kweli kapatwa na masaiba usiku huu, nani wa kwanza kutoa taarifa. Kanisa au Maria Sarungi,

You people live in your own lala land na kudhani serikali ni kitaasisi cha watu wajinga. Mnaweza isumbua kirahisi tu kwa kujijaza upepo.

Uvumilivu una mipaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…