Ccm hawana hatimiliki ya hii nchi, nchi ni yetu sote kila raia hata asiye mwanasiasa ana haki ya kuishi kwa usalama na uhuru.Kwa jinsi Padri alivyotema madini yaliyonyooka kama rula dhidi ya hawa watawala magaidi, kulikuwa na kila dalili lolote huenda kumkuta.
CCM na serikali yake ni laana.
Sasa mbona kelele zilienda kwa JPM tuu?Mama ameamua kufuata mkondo ule ule wa Jiwe. Amekuwa, amekomaa na kurithi tabia zile zile mbaya na mbovu.
Usisahau tu, wakati jiwe akiwapoteza wakosoaji wake, mama alikuwa msaidizi wake mkuu.
Wanafanya ili kuwanyamazisha viongozi wa dini, lkn si kwa RC labda akina Peter Abubakary Rashid ndio atawanyamazisha Chura kiziwi,Tusubiri tuone serikali itasema nini kuhusu hili kama kweli limetokea.
JPM mtu mbaya sana mkuu 😎Steve Nyerere jana amewachana Watu wa Dini kupinga ccm
Kwahiyo ndio mmeamua kuua Wakatoliki wote? Ngoja tuone mtaua WangapiDuu. Ila huyu Maria Sarungi wa chadema kumbe ana close link na huyu Pad Kitima kulielekeza pasivyo kanina katoliki la Tanzania ku support kufanikisha uhaini wa Tundu Lissu?
Hamna wa kulinyamazisha kanisa katoliki, kanisa lina misingi yake.Wanafanya ili kuwanyamazisha viongozi wa dini, lkn si kwa RC labda akina Peter Abubakary Rashid ndio atawanyamazisha Chura kiziwi,
Na watakuja na maneno ya kijinga tu "oooo uchunguzi unaendelea"
Watengeneza propaganda nyingi.
🚮Kuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Mchengerwa anawezaHamna wa kulinyamazisha kanisa katoliki, kanisa lina misingi yake.
JPM alipomaliza na wapînzani akahamia kwa kina kinana nape na makambaKama hadi mapadri nao wameanza kuwa victims basi nobody is safe
Hawawezi wanajisumbua tu labda kama wanataka kutuvurugia nchi.Wanataka kuua Viongozi wote wa Kanisa Katoliki
Wewe ni K tena yenye majiKuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?
Mungu amzidishie ukatili zaidiSamia anaipasua Tanganyika hivi hivi na Akina Kunda wanatazama tu, huyu wakumfurumsha hapo kabla hajaharibu zaidi,
Nyumba kuongozwa na Mwanamke hata dini hazikubali mwanamke kuwa kiongozi
🤣🤣🤣🤣 dah Mwamba upo Vema… ila ngoja siku JESHI LA CCM likubake ndio utakuwa na AkiliKuna wakati mwingine acheni upumbavu. Yaani hatujajua watu waliomshambulia huyo Padri wa CHADEMA halafu unakimbilia kuitaja CCM in a negative way kama vile ndo imemshambulia. Wewe ni mahakama hadi uhukumu bila uchunguzi?