Padri Kitima ashambuliwa na watu wasiojulikana. Inadaiwa hali yake ni mbaya

Kama kuna jinai katenda si akamatwe! Inaonekana unaunga mkono extra judicial punishment.....
No one is supposed to be attacked for airing their opinion.

But then governments have different ways of dealing with people who are exploiting their respected social position to cause trouble or those inside the government with access to sensitive information if they opt to share such information with the media/public (ya marehemu Dr Mvungi kipindi cha katiba).

Ipo hivyo duniani kote. It was coming kwa Dr Kitima.
 
Tatizo humu wataruka komenti yako na kuendelea maandamano yao mitandaoni.....
 
Is this ENGLISH or FRENCH??😅😅

Lak of paragraphs,and proper punctuation 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Acha uongo mbona mimi mkatoliki na sijauwawa? Huyo Padre tunamjua ni mwana Chadema ila anajificha tu kwenye upadre hata baadhi ya Maaskofu walishaanza kumshitukia.
Ana kadi no.? huko chadema
 
Is this ENGLISH or FRENCH??😅😅

Lak of paragraphs,and proper punctuation 🤣🤣🤣🤣🤣
Cha msingi ni kuwa makini unapo tafuta ugomvi na serikali (you don’t know their reaction).

Hayo mengine sio shida zangu, kama uelewi lugha una uhuru wa kudharau.

Lakini mimi sikuandika kimombo kumfurahisha ‘Stephen Fry’ not sure you will even get sarcasm (google Stephen Fry English language, it might help you to appreciate the sarcasm).
 
CCM mnataka kutupeleka wapi kama taifa?
Hapana.
Tuache sasa kuwarundikia lawama CCM.
Dalili zilikwisha onekana kungali mapema. Hii ni zaidi ya CCM sasa.
Mwenye kutaka kuelewa aelewe; hii siyo vita ya CCM na waTanzania. CCM sasa itatumika tu kama kiziba macho.
Wengine tulishaanza kuona dalili toka kitambo.
 
Acha kuhamisha mada.
Kwenye hili lazima CCM anahusika.
Kwa kufanya wao moja kwa moja, au kutuma watu wengine ikiwemo askari polisi wapumbavu pumbavu.
 
Cha msingi ni kuwa makini unapo tafuta ugomvi na serikali (you don’t know their reaction).
Nani "alitafuta ugomvi na serikali"?
Serikali ni mdudu gani..., hiyo serikali ni ya nini kwanza?

Wakati mwingine huwa unaandika mambo bila ya kuyatafakari vizuri kwanza.

Kutafuta ugomvi na serikali? Kwa hiyo serikali inayo haki ya kuvunja sheria wakati wa kushiriki ugomvi?

Sijasoma hayo uliyo andika huko mwanzo, lakini maandishi yako hapa tu yanaonyesha tabia ile ile ya kukurupuka tu, kama ulivyo zoea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…