Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Hii sio sura mbaya ni sura ya kiume
 
Thubuuuuuutuuuuu ndo unawajua Jesuit father's ?
Ebu tafuta kitabu kimoja Cha davince code ili uwatambue katoliki .
Ndo utajua kufanya mapenz sio dhambi🤣🤣🤣🤣
Sasa kufanya mapenzi Kuna kuwaje dhambi wakati umeumbwa na spare parts means zitumike
 
"Sheria nyingi hazipingani na mpango wa Mwenyezi Mungu "

''Hakuna sheria unasema watu watekwe''
''kila MTU atavuna alichopanda"

" wafuasi wa Gwajima Wana haki ya kuabudu" Ibara ya 19
Tuone kama kutakuwa na double standards, wataifungia RC tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…