Padri Kitima: Polisi wenyewe wanalijua hili tukio vizuri mbele ya Mungu wanalijua vizuri

Sasa ebu mtu ajifanye kama anajikuna kufungia tu au hata kujaribu kutikisa token 🤣🤣🤣🤣
Hilo haliwezekani ndio maana Tunaona ni lazima Raisi atawale miaka kadhaa akiwa ni mkristo na atawale miaka kadhaa akiwa ni Muslim kwaajili ya kutengeneza power imbalance kwakuwa Taifa Lina waumini wengi wa dini hizo mbili so ikitokea ,

So ikitokea waumini wa dini hizo wakadharauliwa Kwa kiasi kikubwa na wanasiasa au wanasiasa wakawa ktk magonvi mazito na viongozi wa dini ni rahisi nchi kuingia ktika machafuko kwakuwa viongozi wa dini Wana influence kubwa sana ktk jamii Kwa kuwa dini zao Zina waumini wengi sana nchini
 

Haha Mzee Tosa Mwaka gani hio, Naskia mnawatoto wenu ipamba kule 😂
 
Binafsi nimemsikiliza Kitima mwanzo mwisho. Kwakweli huyu ni tunu ya taifa, watanzania tuache udini tujaribu kufikiria mambo kwa kina tusiwe kama Covax
Wenyewe watakuambia ana chuki binafsi na serikali kwakuwa inaongozwa na mtu wa imani tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…