Wewe unafikiri nchi hii mnao uhuru wa kufanya kila aina ya takataka mziwazazo; hujui wewe mwenyewe ha o amoja na kujibaraguza huko huna lolote lililo chini ya uwezo wako kulifanya?Watake kumuindoa kwa lipi haswa?
Na ingetokea haha hiyo unadhani wangeshindwa?
Si angefuatwa huko huko Aga Khan alikokimbilia
Inasiriba Kwa mwamposa!!ni spin nzuri!Ulitaka iwe lini!
Hana lolote huyo akimaliza kubwabwaja akalale na ndugu yake Lissu hawezi kuwa Rais wa nchi ya TZ milele!
View: https://www.youtube.com/live/R_ERBPwVE60?si=uVu108w1keo7MI_7
Katibu wa baraza la Maaskofu nchini TEC Padri Charles Kitima nafunguka namna alivyoshambuliwa
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima amesema, "Sasa hivi Vyombo vya Habari haviko huru na kwasababu hiyo watu wanaona kwamba Viongozi wa Dini ni kama chimbo la taarifa. Mfano hivi majuzi umeona limetokea hili tatizo la watu wanatekwa, Watu wanauawa, unajiuliza ni nani mwenye nguvu nchi hii anayeshinda Vyombo vyetu vya Dola mpaka anaweza akateka, watu wakauawa?, tumeona kina Ally Kibao watu kama sisi [Padre Kitima] tumeshambuliwa"
View attachment 3398275
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC), Padri Charles Kitima
View attachment 3398283
Padri Kitima kuhusu ushauri uliopelekwa na baraza la maaskofu kuhusu mabadiliko
Vyama Upinzani vilidhoofishwa sana katika kipindi cha Awamu ya Tano naya saa
Aaahh hapo mimi nimetoka kitambo japo mkuu,2007/2009.Nimefurahi kwa kweli Nilikuepo hapo miaka ya 2015...
Namba mojaMzanzibar ni nani ?
Hakuna mcha Mungu ambaye anaweza kusema huyu mtumishi wa Mungu ameongea jambo lolote kwa kulipindisha. Mungu aendelee kumtunza!SIKILIZA
Walioniumiza wachunguzi wanawajua mbele ya mwenyezi mungu, wanawajua mbele ya Mwenyezi Mungu
View: https://youtu.be/R_ERBPwVE60
Inaitwaje Mkuu?Niliangaliaga movie yake hatari sana aisee
Akili za namna hiyo ndo zimelifikisha hapa hili taifaWenyewe watakuambia ana chuki binafsi na serikali kwakuwa inaongozwa na mtu wa imani tofauti.
Huyu mwamba anayemuohoji Padre (natumaini ndio mwenye Jambo Media) tulikuaga tunam dis sana kwa unoko (nafikiri ndio karama ya uamdishi ilikua ndani inam drive) na vile alikuaga na sura mbaya basi tulikua hatumpendi kinoma pale Tosamaganga nikiwa high school, alinitangulia mwakam mmoja
Soma post #110.Mwakagani huo mwanaTosa?
007/009Mwakagani huo mwanaTosa?
🤣 🤣 🤣 🔊Natamani RC ifungiwe kama kanisa la Gwajima ili nchi iokolewe
🤣 🤣 🤣 🔊Wewe mwenyewe ni kiongozi kwenye hicho kitengo ndiyo maana unajua kabisa kuwa kuna kitengo maalum cha kuteka na kuua. Shame on you
Utu sio maneno ni action....yaan watu huwa wanatafsir mambo kwa action zaid na si maneno matupu....unaweza sikia watu wakisema fulani ana upendo sana ila kuna uwezekano huyo fulan kamwe ajawah jitangaza kuwa anapenda watu.....