Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Padri Kitima amesema "msipojirekebisha nyinyi wanasiasa na vyama vyote, vijana watakuja kuleta mapinduzi miaka 10, 20 ijayo, hamtayakwepa, hawana kazi, mnawaibia kura, mnawayumbisha.Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania amesema nchi inakabiliwa na changamoto kubwa ya kutokuwa na Taasisi Imara za Demokrasia kuanzia kwenye familia hadi kuingia kwenye siasa.
Ameeleza kuwa vijana wamekaa kimya kwa sababu wameamua kuheshimu wazazi wao na viongozi wao lakini hawatavumilia milele mambo yanayowaongezea hasira za maisha.
Padri Kitima amesema "msipojirekebisha nyinyi wanasiasa na vyama vyote, vijana watakuja kuleta mapinduzi miaka 10, 20 ijayo, hamtayakwepa, hawana kazi, mnawaibia kura, mnawayumbisha.
Acha kabisa kumfananisha Padre Dr. Charles Kitima na huo msukule.Kitima ni Dr Slaa aliyechangamka
Hata huyu utakuja kumkataa mbele ya safariAcha kabisa kumfananisha Padre Dr. Charles Kitima na huo msukule.
Acha kupotosha gitogito.Kitima ni akina Wilbroad Slaa kumi na "ine"!Kitima ni Dr Slaa aliyechangamka
Sahau kuhusu hilo. Maana huyu Padre ni mtu anayeamini katika mawazo huru kama mimi!Hata huyu utakuja kumkataa mbele ya safari
Msukule wa yule dhalim aliyeko jehanam sasaAcha kabisa kumfananisha Padre Dr. Charles Kitima na huo msukule.
Hee, slaa alishatangulia?Msukule wa yule dhalim aliyeko jehanam sasa
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app