Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Hii sio lugha ya mimbarini,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama namwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!
P
Ni Rais pia ni mama, majina yote mawili kwake ni sawa... acha uchawi!
Hapo angekuwa anasifia kwa kutumia maneno hayo hayo unayoona yana shida ungeona sawa, kwa vile itakuwa kasifia mpiga mwingi.
 
Ukijifedhehesha mwenyewe nanwewe utafedheheshwa , hata IDD AMINI alikuwa Rais lakini alifurushwa na urais wake, ni wewe na wana CCM pekee ndio mnao amini urais ni nafasi yenye utukufu na uungu na hautakiwi kusemwa kwa namna yeyote ile! Hao ni nyie lakini Rais ni binadamu wa kawaida kabisa kama wewe na anaweza kukosea kibinadam kabisa hivyo hajawa mungu
 
Hivi kweli ule waraka ulikua fake? Mbona unaendana na matamko ya Maaskofu.
Taja kitu kimoja kwenye waraka kinachoweza wapa tabu hawa watawala na chama chao?
 
Padri anamkosea heshima Rais namna hii halafu watu wanaona ni jambo la kawaida? Sijui viongozi wa dini wa namna hii wanataka kutupeleka wapi. Very sad.
Ungetwambia namna bora ya kumheshimu raisi ili asiendelee kukosewa heshima.
Vinginevyo raisi siyo mungu wala malaika ni mtumishi wa watu.
Siye ndo tuliamchagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…