Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Hio sio Sawa, Mama ni Rais wetu wa Nchi huwezi kuadress kama vile unaongea na Mwenye kiti wa Bodi ya Pamba au Korosho, The Presidency is an institution lazima iwe respected kama Mkuu wa Nchi

Tuta tofautiana na baadhi ya Mitazamo yake lakini itakuwa kwa stara Kama Padre Ivo hajui namna ya kuchannel Complains zake basi Ovyo kabisa

Tunamheshimu Mkuu wetu wa Nchi na Tutalinda Dignity yake
 
Akija kuanza kuwashughulikia kisawasawa tusije sikia makelele maana naona mnazidi kumchokonoa.
Kushughuliana kwa kuwa mtu amesema jambo usilolipenda ni ushamba na ndio udikteta wenyewe sasa

Hoja (au kioja) hujibiwa kwa hoja na sio nyundo au mtutu wa bunduki
 
Ww kwa sababu ndo kiongozi wa familia basi huwa unawaruhusu watoto na mkeo wako wakutukane wakukebehi na kukudharau?
Baba kamwe hawezi kubadilika kuwa mwana lakini mtu yeyote anaweza kuwa rais. Huo mfano wako hauna uhalisia
 
Ni Rais pia ni mama, majina yote mawili kwake ni sawa... acha uchawi!
Hapo angekuwa anasifia kwa kutumia maneno hayo hayo unayoona yana shida ungeona sawa, kwa vile itakuwa kasifia mpiga mwingi.
Umesema ukweli, angesifia wala isingekua tatizo
 
Padri anamkosea heshima Rais namna hii halafu watu wanaona ni jambo la kawaida? Sijui viongozi wa dini wa namna hii wanataka kutupeleka wapi. Very sad.
Anajikosea heshima yeye mwenyewe, yaan baba Yako mzazi ashushwe kwenye gari auwawe kikatili alafu ukiwa kama boss wa watekaji utamke hadharan eti kifo ni kifo
 
Askofu yupo sahihi kama mtu hajiheshimu hastahili kuheshimiwa.
Halafu huu msamiati eti "kukosoa kwa staha" ni wa hovyo ukikosea unakosolewa .
Watawala wasijifanye miungu watu eti wakikosea wakosolewe eti kwa staha .
Na wewe paschal ni mpumbavu flani una mahoja yako ya kijinga sana pumbavu mkubwa wewe .
Naunga mkono hoja
 
Ww kwa sababu ndo kiongozi wa familia basi huwa unawaruhusu watoto na mkeo wako wakutukane wakukebehi na kukudharau?
Kama hujiheshimu na huwaheshimu Wana haki ya kukudharau.
 
Back
Top Bottom