Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Tangu Kitima apewe kipigo mmesha fanya nn mpaka sasa?
Au ww unadhani serikali anapo walea hawa maaskofu miaka na miaka kwa matamko yao basi unadhani haina uwezo wa kuwashughulikia ikiamua?
Narudia tena nyinyi endeleeni kumchokonoa tu mtayaona makubwa zaidi ya hapa.
Wapumbavu kama wewe ndio mnazidi kupalilia moto kwake, subiri uone kitakachotokea ndipo urudi hapa.
 
Ww kwa sababu ndo kiongozi wa familia basi huwa unawaruhusu watoto na mkeo wako wakutukane wakukebehi na kukudharau?
Nani ametukana!!
Weka matusi hapa.
Ni shetani tuu (baba wa uongo) ambaye kwake ukweli huuita matusi.
 
Upo Tanzania sio Rwanda..mkuu
Mm nimekutolea mfano wa Rwanda ili ujue kuwa hizi bwabwaja za maaskofu serikali ikiamuwa kuzidhibiti ni suala la kugusa tu sema haijaamuwa.
 
Wapumbavu kama wewe ndio mnazidi kupalilia moto kwake, subiri uone kitakachotokea ndipo urudi hapa.
Mpumbavu ni ww unaye lazimisha kila mtu akubaliane na mtazamo wako alafu wakati huo una mtaka samia aheshimu mawazo mbadala.
Ww kama hutaki mawazo zaidi ya mawazo unayo waza ww vip ungekuwa rais ungevumilia wapinzani wako kama unavyota samia afanye?
 
Pia Naona Viongozi wa Dini wao ndio wanatufundisha wema dhidi ya ubaya sasa mbona wanashindwa kujizuia na hasira za wazi?
 
Mpumbavu ni ww unaye lazimisha kila mtu akubaliane na mtazamo wako alafu wakati huo una mtaka samia aheshimu mawazo mbadala.
Ww kama hutaki mawazo zaidi ya mawazo unayo waza ww vip ungekuwa rais ungevumilia wapinzani wako kama unavyota samia afanye?
Mtu anayeandika "ww" au "alafu", huwa nampuuza kwani najua hata kichwani ni mtupu.
 
Kwahiyo marais hawatokuwepo baada ya samia kuondoka bali watakuwepo viongozi wa dini peke yao?
Watakuwepo ila sio wajinga/wapuuzi Kama huyo unayemwabudu...
 
Mm nimekutolea mfano wa Rwanda ili ujue kuwa hizi bwabwaja za maaskofu serikali ikiamuwa kuzidhibiti ni suala la kugusa tu sema haijaamuwa.
Irrelavant kabisa..
 
Padri anamkosea heshima Rais namna hii halafu watu wanaona ni jambo la kawaida? Sijui viongozi wa dini wa namna hii wanataka kutupeleka wapi. Very sad.
Anayetakiwa kuheshimiwa na yeye hajiheshimu na sisi tufanyeje?
 
Watakuwepo ila sio wajinga/wapuuzi Kama huyo unayemwabudu...
Hata viongozi wa dini watakuwepo lakini sio kama hawa ambao wameacha majukumu yao ya asili na kushinda majukwaani warumbana na wanasiasa.

Makanisa yao yananuka uzinzi, wizi wa sadaka, majungu,wanawake kuingia makanisani na vimini ,badala waondoe uozo ulio jaa kwenye makinisa yao wao wako bize na yasiyo wahusu.
 
Back
Top Bottom