Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

SHida ni kusema huyu Mama? Je Angesema Huyu Baba ingechukuliwa hivyo hivyo?
Padri anamkosea heshima Rais namna hii halafu watu wanaona ni jambo la kawaida? Sijui viongozi wa dini wa namna hii wanataka kutupeleka wapi. Very sa
 
Rais wa Baraza la Maaskofu nchini, Askofu Wolfgang Pisa O.F.M. Cap, amekanusha vikali taarifa iliyotolewa na jeshi la Polisi kwamba Katibu Mkuu wa Baraza hilo Fr.Dr.Charles Kitima (PhD) alikua anapata kinywaji kabla ya kushambuliwa.

"Hakuna baa katika eneo aliloshambuliwa Fr.Kitima na hivyo hakuwa anapata kinywaji kama inavyoelezwa. Pale ni mgahawani. Kusema mtu alikua anakunywa saa zote hizo si kweli. Tunaandaa taarifa kamili, tutaitoa itakapokua tayari" Amesema Askofu Pisa.

#MyTake:
Ikiwa haya aliyoyasema Baba Askofu Pisa ni ya kweli, ina maana Polisi wamedanganya. Sasa je wamedanganya kwa faida ya nani? Na kwa lengo gani? Hivi Muliro anaijua Novena Mtakatifu Rita wa Kashia kweli?
FB_IMG_1746383090398.jpg
 
Tangu Kitima apewe kipigo mmesha fanya nn mpaka sasa?
Au ww unadhani serikali anapo walea hawa maaskofu miaka na miaka kwa matamko yao basi unadhani haina uwezo wa kuwashughulikia ikiamua?
Narudia tena nyinyi endeleeni kumchokonoa tu mtayaona makubwa zaidi ya hapa.
Silent killer?
 
Hao viongozi wa dini wao huwa wanakosolewa na nani mbona na wao wamejaa uozo wa kujitajilisha kwa sadaka, kutembea na wake za watu ?
Mkuu ITR si wapelekwe mahakamani?
 
Kama kukaribisha wawekezaji ndo kuuza nchi basi nchi ilasha uzwa tangu kipindi cha mkapa.
Kwani watu hawakupigia kele miradi hiyo mfano migodi ya dhahabu, mererani, kiwira Deep green, Trl na Rites, alliance air, tisc
 
Hakuna ambacho watanzania wazalendo hawakupigia kelele.
Kwani watu hawakupigia kele miradi hiyo mfano migodi ya dhahabu, mererani, kiwira Deep green, Trl na Rites, alliance air, tisc
 
Hawa kipindi cha Magufuli walikuwa likizo, sasahvi wamemaliza likizo zao.
Hawa hawana hawana huo unafiki mkuu Kama wale wa upande mwingine ,
Magufuli walimuonya vikali kwa barua
Sema Nyie vijana machawa na wanafiki ndo mnaingiza udini kwenye suala la kudai haki
f1d18d24d95d44d91765539c06a7d022.png
 
Hii sio lugha ya mimbarini!,ni lugha ya kijiweni!,Rais wa nchi ni Rais!huwezi kumuita “huyu mama... mimi nikamwangalia tuu”!。Rais Aheshimiwe na Wote!Heshima kitu cha bure! Kwanini Rais Samia, japo sio lazima apendwe na wote lakini ni lazima aheshimiwe na wote? Akosolewe kwa staha na asitukanwe!
P
Sijui wewe utakuwa mtu mzima lini ili uwe na akili za kiutu uzima kama watu wengine wote.
Hivi uhai wako wote utabaki na akili za kitotototo aina hii?
 
Back
Top Bottom