Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Padri Muchunguzi ashangazwa na kauli za Rais, asema waumini wetu ni wanasiasa lazima tuwarekebishe

Tulipofikia hamna mtu anaiheshimu serikali, juzi saa 12 filimbi inalia bendera inashushwa hamna aliyesimama, kila mtu anaendelea na issues zake, yaani nilishangaa nikajiona toleo la mwisho
 
Hata wewe unaweza kuwakosoa kwani umewakatazwa? .
Hata hao wanasiasa wawakosoe tu na kamwe haijawahi kutokea kusikia viongozi wa dini wanalalamika kwamba wanasiasa wanaingilia mambo yakanisa
Serikali ikianza kufukunyua uozo wa viongozi wa dini nyinyi si ndo mtakuwa wa kwanza kupiga kelele kuwa Serikali inaingilia uhuru wa kuabudu?
 
Unatambua kuwa mamlaka ya nchi yanawekwa na wananchi na uchaguzi unapaswa kuwa huru na wa haki si wa mtutu wa bunduki. Kama kweli ni mwamke kweli aitishe uchaguzi huru na wa haki.
Hii tume si ndo iliyo wapa upinzani zaidi ya 100 bungeni mwaka 2015?
 
Mkuu,mtumishi wa Mungu anaposimama kwenye mimbari anasimama kama Wakili wa Mungu! Ni Mungu anayesema nasi kwa kinywa cha mtumishi wake.
Na Mungu anaposema na wanadamu vyeo vyetu havina maana mbele zake! Ni mfano wa siku ile ya Mwisho tutakaposimama mbele ya Kiti cha Hukumu,Mungu hataangalia nani alikuwa nani! Ataangalia matendo ya mtu,kama ni mabaya ni motoni tu kama ni mazuri Mbinguni.
Kama Askofu angekuwa Nje ya Mimbari au Kanisa angehesabika amemkokea heshima Rais.
Na kwa bahati mbaya sana kwa nchi yetu Wanasiasa kwa sababu ya Kiburi cha madaraka wamefikia hata kuwaona Watumishi wa Mungu si watu wa kuheshimiwa kitu ambacho ni kosa kubwa mbele za Mungu.
 
Kama kiwango chake cha kuvumilia kimefikia mwisho aachie wengine wenye ngozi ngumu watavumilia matusi, kebehi, kejeli nk. Nafasi aliyopo inaweza kushikwa na mwingine na tukamsahau kesho tu!
Ww kwa sababu ndo kiongozi wa familia basi huwa unawaruhusu watoto na mkeo wako wakutukane wakukebehi na kukudharau?
 
Mtumishi wa Mungu anaruhusiwa kuombea amani pekee, haruhusiwi kukemea wizi wa kura wala uovu unaoendelea na unaoihusu Serikali ya ccm.
 
Hii tume si ndo iliyo wapa upinzani zaidi ya 100 bungeni mwaka 2015?
Hatutaki uchaguzi wa kupewa wabunge na tume, tunataka wabunge wapite kwa wingi wa kura zao na hata Rais atangazwe kwa ushindi wa kura zake.
 
Acha ujinga hamna kitu itawafanya...Nchi hii imepata uhuru na Viongozi wa Dini imewakuta haijawai wafanya chochote..Kuna vyama vingi vya kisiasa vimeanguka na kupotea kabisa katika nchi nyingi za Afrika..lkn Bado Kanisa limesimama.
Serikali ikiamuwa itawashughulikia viongozi wa kanisa na sio kanisa.
Kwani Rwanda kanisa Katoliki halipo lakini kuna padri sijui askofu anaye weza thububu kupanua mdomo eti kutoa matamko ya kuiamrisha Serikali kama wanavyo fanya tec?
 
Ukiwa kiongozi ukajiheshimu na ukaheshimu wenzako utaheshimiwa,lakini ukitaka uheshimiwe wewe tu ukawadharau wenzako utadhalauliwa na ukidhalauliwa kiongozi na ukajiona unazalaurika ni mateso makubwa sana
Aliwaheshimu na wengine na ndio maana baada ya kuingia madarakani wote walio kuwa wameikimbia nchi wakarudi walio kuwa jera akiwemo akina mdude waka achiwa akawaita kwa maridhiano lakini wakayakataa.
 
Hatutaki uchaguzi wa kupewa wabunge na tume, tunataka wabunge wapite kwa wingi wa kura zao na hata Rais atangazwe kwa ushindi wa kura zake.
Serikali ya ccm haitaki hilo ipo tayari kuiba kura au kuua hata viongozi wa dini.
 
Hawa kipindi cha Magufuli walikuwa likizo, sasahvi wamemaliza likizo zao.
Sio kweli wadanganye wajinga na JF wajinga sio wengi ni baadhi tu Waislamu mbona wewe ni Mkristo unaishi kwa propaganda na wizi wa serikali ya ccm.
 
Serikali ikiamuwa itawashughulikia viongozi wa kanisa na sio kanisa.
Kwani Rwanda kanisa Katoliki halipo lakini kuna padri sijui askofu anaye weza thububu kupanua mdomo eti kutoa matamko ya kuiamrisha Serikali kama wanavyo fanya tec?
Upo Tanzania sio Rwanda..mkuu
 
Kwahiyo viongozi wa dini wao hawatokufa wataishi milele?
Viongozi wa Dini wapo zaidi ya miaka 2000..ila Samia Hana ata miaka 30..mbeleni..atakuwa amesaulika katika ramani ya nchi hii..
 
Back
Top Bottom